Team Janja janja, team kununua cheki ilivyowanunua Wazimbabwe

Kitu ambacho huwa sikipendi ni kumuingiza kibakuli kwenye mambo ya mjanjamjanja domo
 
Haya ni majungu makubwa sana, kwa akiri ya kawaida tu hilo haliwezi kuwa kweli, mtu aende kutafta hela alafu awalipie mashabiki??????
Mtoa mada anawaponda watu fulani kijanja...just being sarcastic.
 
Reactions: GUI
Ommy dimpoz aligusa pabaya sana. Maana neno "kununua" bado linashika hatamu kwa wale walioguswa hahahhahaahaha. # kununua views#
Dogo ananunua vingi. Rolls royce,nyumba SA not bad...
 
Dogo ananunua vingi. Rolls royce,nyumba SA not bad...
Ni kweli kabisa hahaha ila hili la views dah limemuuma, mana sasa anapiga show kisawasawa kumprove wrong ommy. Haahhahhahahaha kweli kila mbabe na mbabe wake
 
Yoooo kuna vitu sivielewi pale iwaje diamond ashangiliwe vile wakati me Ndo king[emoji19] [emoji19] [emoji19] yoooo
Kijana lazima ajitume sana wakat king akila bata hahahah. Unajua king anatia hasira anavyonyamazaga kimya but watu the whole day king king king.
 
Ningekuwa allykiba aka bushman ningeomba collabo na diamond baada ya hapo ningeomba collabo na wizkid/ tecno alafu ningebadilisha ile melody ya slow ningeacha mambo ya yooo!!
Unajua king anatia hasira sana, mana mashabiki wa mond full kumtaja but heeeeey the king is here cool calm and collected. Na kagoma kutumia bit za naija kupata tuzo hehehhhee
 
Aligusa pabaya au alisema ukweli, we uoni hao mashabiki jinsi walivyo wengi na jinsi wanavyomshangilia kwa akili ya kawaida MOND anaweza kupata nyomi hilo bila ya kuwanunua .......... kama haitoshi safari hii kawanunua hadi waandishi wa habari.
Hahahahha ni kama kusema tekno alijaza watu fiesta...[emoji33] if u know what i mean[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tuambie,haswa kuhusu tabia yake ya kununua mashabiki na pia huko Zimbabwe kawanunua hadi waandishi wa habari.
Hivi lile dude pale mezani pake anatembeaga nalo au[emoji3][emoji3][emoji3]
 

hahaaaaaaaa,bushman bila kumdis mondi hakubaliki,ananishangazaga sana huyu pimbi
 
Hahahahha ni kama kusema tekno alijaza watu fiesta...[emoji33] if u know what i mean[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Soma bango,shoo ya mtu mmoja na mwingine msindikizaji huwezi kuilinganisha na shoo ambayo hata bango lake tu linajieleza kuwa ni FIESTA yenye LUUUUNDO la wasanii. (KUMBUKA HATA Chriss Brown alikuwa na wasindikizaji,na hapa msindikizaji alikuwa jah prazah)

 
Hiyo ilikuwa ya Diamond au Jah?!

Maana Wizkid alivyokuja Fiesta mwanza nae aliwadanganya mashabiki wake instagram kuwa alijaza uwanja wakati yeye alikuwa msanii mualikwa tu.

Ni kama Tekno alivyo-post show ya fiesta na ile nyomi ya Mashabiki na kusema kuwa amejaza uwanja peke yake kumbe kulikuwa na wengine Kibao.

Sasa mtupe jibu hiyo show jamaa alifanya peke yake au kulikuwa na wasanii wengine wa Zimbabwe?!
 
Mzee wa tembo nilimuona serengeti kaenda kuhesabu ndovu wake
 
Shoo ilikuwa ni ya DIAMOND PLATNUMZ na mwingine ambaye ni Jah Prazah alikuwa ni msindikizaji.ANGALIA BANGO. (PIA KUMBUKA DUNIANI KOTE SHOO ZA MASTAA WAKUBWA NI LAZIMA NA WENYEJI WAWACHOMEKE WASANII WAO ILI WAPATE UZOEFU NA KUJULIKANA)

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…