Team Janja janja, team kununua cheki ilivyowanunua Wazimbabwe

Dah!huyu chibu anatumia fedha vibaya mno kununua mashabiki..bora angetumia kwenda kumsalimia fisi kule tarangire
 
Shoo ilikuwa ni ya DIAMOND PLATNUMZ na mwingine ambaye ni Jah Prazah alikuwa ni msindikizaji.ANGALIA BANGO. (PIA KUMBUKA DUNIANI KOTE SHOO ZA MASTAA WAKUBWA NI LAZIMA NA WENYEJI WAWACHOMEKE WASANII WAO ILI WAPATE UZOEFU NA KUJULIKANA)

Sasa mbona iliitwa Watora Mari na sio jina la Dimond ili huyo msanii wa kimataifa ajaze vizuri uwanja?
 
Anafuata nyayo za Dk Remy za kupiga Show nyingi za nchi za nje.... Marehemu Remy alikuwa anamzidi bichuka kuimba?watu wanaenda kushangaa domo la mwendo kasi kama kwa mzee yule wa sura mbaya
 
Sasa mbona iliitwa Watora Mari na sio jina la Dimond ili huyo msanii wa kimataifa ajaze vizuri uwanja?
Chriss brown shoo yake ya Mombasa HAIKUPEWA JINA LAKE WALA JINA LA WIMBO WAKE WALA ALIOSHIRIKISHWA. Swali, je inamanisha watu hawakufuata burudani yake kwa vile HAWAJATUMIA JINA LAKE ............Shoo iliitwa MOMBASA ROCKS MUSIC FESTIVAL. (Kumbuka mwenye maamuzi ya shoo iitwaje ni PROMOTER NA SIO MSANII.)
 
Kuna watu wanatamani wauloge huu uzi.....hahahahahaaa
 
😀 😀 😀 😀 😀

Nacheka kwa dharauu.......
 
Diamond jamani anakeraaa!![emoji38][emoji38]
Yaani show ya Zimbabwe inaitwa "mwana ukome"[emoji2]

Jahzapray mwenyewe amekiri kwenye ukurasa wake wa Instagram kwamba ni Show ya kukumbukwa!!A show to remember!!

Kama nawaona hivi AntiDiamond wakikunja uso kwa hasira[emoji57][emoji57]
 
Wanatamani kupasuka,jinsi walivyozijaza sumu mdomoni.
 
kuna tetesi anataka kuwanunua Rick mandevu na Rihanna. Ukibisha anakununua pia.
 

Duh! We Mzaramo una kwere!
 
Sasa mbona iliitwa Watora Mari na sio jina la Dimond ili huyo msanii wa kimataifa ajaze vizuri uwanja?
Kwanza kwenye hiyo ngoma ya watora mali diamond ndo sterling..Diamond ndo kamtoa jamaa kitaifa na kimataifa.

Na wazim walidhani labda ngoma ni ya diamond kumbe alipewa collab akamfunika na mwenye ngoma.
 
Timu kibakuli wanaongoza kwa kumuaongezea dai views ona sasa mnaongoza kwa kupost show za simba izo videos hata mashabiki wa dai whatsaap hawajaziona ww timu kiba unazo umeamua kuzileta mpaka jf kazi nzuri sana endeleeni kumpigia promo simba
 
basi tufanye show ni ya Jah na diamond kaenda kutoa sapoti tu.
 
Anafuata nyayo za Dk Remy za kupiga Show nyingi za nchi za nje.... Marehemu Remy alikuwa anamzidi bichuka kuimba?watu wanaenda kushangaa domo la mwendo kasi kama kwa mzee yule wa sura mbaya
Hivi ww huwa hujishangai ulivo na sura mbovu kama mk....ndu
 
Mnapiga majunga anajenga vibanda
Hilo nalo neno,maana Mama ametoka kucheki kiwanja cha kuhamisha "State house" badala ya madale iwe ni sehemu nyingine.


Pia hii picha utaikuta kwa huyu Dalali wa majumba,viwanja,mashamba na magari na vitu vyote vinavyohusu kudalaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…