Team Janja janja, team kununua cheki ilivyowanunua Wazimbabwe

hiyo show ilikuwa ya watori Zimbabwe hawamjui DIAMOND watu wengi walienda kumuona jah Praziah
 
Nasikia tena kwenye manunuzi yake ammnunua mtoto tena kwa zari anataka kununua jina kwa mashabiki ili mtt huyo wa manunuzi aitwe
 
hiyo show ilikuwa ya watori Zimbabwe hawamjui DIAMOND watu wengi walienda kumuona jah Praziah
Ndio umeongea nini sasa ......... Mi nilidhani utasema hiyo show HAKULIPWA PESA,ILA KAFANYA BURE.
 
M
amelipwa dola laki mbili.ya Zimbabwe nasikia
Sometimes kujinyamazia ni bora zaidi kuliko uongee kisha uwe kituko, hii inaonyesha kuwa hujui lolote kuhusu pesa ya Zimbabwe,kwamba kwasasa haitumiki tena,ila wanatumia Rand ya south na $ ya U.S.
 
Diamond kwa sasa ana ushawishi mkubwa kuliko vijana wote wa Ufipa na Lumumba combined!
 
Ni muda sahihi wa kumbadilishia domo mshindani maana king wa tembo kajisahau mbugani na tunahisi seven ameshanunuliwa na simba kwa sasahivi labda tumpe nafasi DARASA CMG namwona anajua anachokifanya na ameshamuovertake king yuko anamfukuzia simba sahiv
 
YALE YALE YA MBUNGE MMOJA KUAMBIWA KILA KITU KIZURI CHAKE,MAJENGO,MAGARI NA HATA BARABARA TULISEMA ZAKE MWISHO WA SIKU JAMAA ANASONGA TU.
 
Hata kama kalipwa lakini hela ya Zimbabwe haina thaman,so atajikuta kaambulia laki nne(mawazo ya kiba)
Inatumika dollar na Rand zimland dogo kalipwa US dollar laki mbili zaidi ya tsh million 400
 
The herald Ni gazeti lenye heshima kubwa Zimbabwe
 
Ahaha wee jamaa ni mbaya sana. SIMBAAAA
 
Ahahaha
 
How old are you mtani????
Nakusabahi tu.
 
Kwanza kwenye hiyo ngoma ya watora mali diamond ndo sterling..Diamond ndo kamtoa jamaa kitaifa na kimataifa.

Na wazim walidhani labda ngoma ni ya diamond kumbe alipewa collab akamfunika na mwenye ngoma.
kamtoa Kitaifa?!

Leo umevuta bange ya wapi!?

Labda taifa la Madale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…