laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
hiyo show ilikuwa ya watori Zimbabwe hawamjui DIAMOND watu wengi walienda kumuona jah PraziahHiyo ilikuwa ya Diamond au Jah?!
Maana Wizkid alivyokuja Fiesta mwanza nae aliwadanganya mashabiki wake instagram kuwa alijaza uwanja wakati yeye alikuwa msanii mualikwa tu.
Ni kama Tekno alivyo-post show ya fiesta na ile nyomi ya Mashabiki na kusema kuwa amejaza uwanja peke yake kumbe kulikuwa na wengine Kibao.
Sasa mtupe jibu hiyo show jamaa alifanya peke yake au kulikuwa na wasanii wengine wa Zimbabwe?!