Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Wakiongozwa na Rostam AzizChama chetu kimetekwa na wanamtandao
Wahuni ni noma.Wahuni safari hii hawamuachii mtu hata nafasi moja. Zote wameamua kuzichukua wao wenyewe.
Toa upuuzi wako na chuki zako kwa hayati JPMKalemani mtu wa hovyo sana, Tanesco waliunda kampuni ya kutengeneza nguzo za simenti, lakini yeye ma jiwe wakaizimisha kampuni hiyo, wakaunda ya kwao ya binafsi wakaanza kuuzia tanesco nguzo. Takataka kabisa huyo mfupi kama kipande cha mwisho cha haja
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Toa upuuzi wako na chuki zako kwa hayati JPM
Fuatilia taarifa ya CAGToa upuuzi wako na chuki zako kwa hayati JPM
Uko kwa Kabantega mnapiga majungu tu.Inashangaza sana. Hii inaitwa hasira za mkizi.
Wapambe wote wa Kalemani wamehamia kumuunga mkono Lutandula wa Chato kusini
Wamemtenga kabisa Cornel Magembe
CCM chato watu wanachuki sana.
Nipo hapa stendi ya Zamani Chato nakunywa kahawa
Acha ujinga basi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe Jiwe na yeye ni hayati !!! Watu mnautani sana. Ndiyo maana kuna watu wanamwita shujaa wao 😂😂😂😂
Ahaaa. Mijitu ya Bwina kazi kufuga mambaUko kwa Kabantega mnapiga majungu tu.
Mkitoka hapo mnaenda kurogaAhaaa. Mijitu ya Bwina kazi kufuga mamba
Kabantega anauza kahawa?Mkitoka hapo mnaenda kuroga
NomaSiasa siasani
Siyo utani mkuu, lakini ni haki yako kumuita vyovyote ila huvunji sheria. Ila kumita hayati kwa upande wangu ni kituko sana.Acha ujinga basi
Acha use...ngeSiyo utani mkuu, lakini ni haki yako kumuita vyovyote ila huvunji sheria. Ila kumita hayati kwa upande wangu ni kituko sana.
Wanamtandao?