Team Kanembwa tukutane hapa

VIP kuhusu borombora kigoma.
mwenye details azimwage hapa.
 
Kanembwa pazuri, lko umbali kidogo kutoka kibondo mjini, ni kambi ya zamani ya wakimbizi wilayani kibondo.
 
Kama unachet cha ugonjwa au ulemav tafta mapema uende navyo
 
Mjiandae kubeba moramu kanembwa,..uende na ndoo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…