Team Kanembwa tukutane hapa

Team Kanembwa tukutane hapa

Acha kupotosha wenzako.. wanaondoka mwezi huu ila bado tarehe haijajulikana

Kwa taarifa yako wakujitolea wameanza mafunzo mwez wa tatu...na mafunzo yao huwa ni miez sita haya pga hesabu wanamaliza lin
 
Kwa taarifa yako wakujitolea wameanza mafunzo mwez wa tatu...na mafunzo yao huwa ni miez sita haya pga hesabu wanamaliza lin

Kama hujui kitu kausha, kwenda kupiga depo la mujibu huko 824kj, na ukala chatu kidgo huko isikupe ujasiri wa kujiona system nzima ya jeshi unaijua, by the upo kwenye level ndogo tu , wanaojua system wanakuona na wew bado mzalendo tu.

Mwaka 2015, vijana wa mujibu wanaanza kuripoti 8/06.
wale wa kujitolea hawajapangiwa bado.
Kama hujui kitu ni bora huulize.
 
nikiact nimekoxea haina shida?

Kijana acha kufata maneno ya vishoka, nenda ulikopangiwa kapige kozi umalize, huko 824 walienda watoto laini kabisa tena wa kujitolea na wamemaliza kozi, ugumu upo sema as long as haupo peke yako hapo na ukaamua kukaza unamaliza fresh tu,acha masuala ya kufoji vyeti wew mwanaume pambana mafunzo utayopata yatakuweka fiti
 
Okay ngoja ni wape lonja
<>Tambua ukifika cm utaikabidhi getini

<>Ucbebe mizigo mikubwa na mizito coz utabeba kichwan na ni km 5 had kufka kwenye kambi ya mazoez

<>Beba pocket money za kutosha

<>Beba tranka na kufuli imara

<>Na kama hutak kuchoka its beta ukachelewa kuripoti than kuwahi

<>Ucwe mtu wa kujaa upepo coz kuna maneno ya maudhi na karaha plus kuonewa

<>Kumbuka kusali unapopata nafasi mana hakuna muda wa kanisani wala msikitini

<>Anza kujipa mazoez nw hasa ya push up na kuruka uchura

<>Jali afya yako coz kule hamna wa kujal afya ya mwenzie

<>Ucbebe chakula chochote mana getini utanyanganywa

<>Ucbebe sahani wala kikombe mana mtapewa

<>Ucbebe camera hakuna kupga pcha kule na kwa manufaa yako beba simu ya tochi

<>Kama ni mgonjwa hasa wahaya magonjwa makubwa beba vyeti

<> Beba sabuni za kutosha na mafuta ya kutosha na dawa za mswaki.

<>Ubebe track za kutosha usiende na nguo nzur

<>Soksi beba za kutosha na kama unaweza beba hadi za kufanyia biashara

<>Jitahid ubebe raba imara hata pea tatu coz kule wanauza ghali mno

<>Ucbebe pafyum

<>Beba madaftari na peni..

Afta that welcome to 824KJ kanembwa.
 
Atuambie maana anatutisha xaana

mkuu unatishwa bure,kule ni jkt sio tpdf. watu waliopitia jkt hujifanya wanajua kila kitu kuhusu jeshi tena wanajiona makomando wakati walikuwa wanaangushia tu(kudoji).
vitu ulivyoambiwa ubebe,beba na ulivyokatazwa,acha.
jkt raha sana mdogo wangu hakuna mateso,kila kitu ni sehemu ya mafunzo.
usipende mazoea sana na maafande,km ni KE ndio kabisaaa usiwachekee maafande.
mkesha upo ila unazoeleka,usijifanye mlegevu sana wala mjuaji sana.
ripoti siku 2kabla ya mafunzo kuanza,pia wanakagua mizigo getini.
MWISHO: akili za kuambiwa changanya na zako.
 
I appreciate it bro itz true ua great thinker bt daftar za nin
 
Tuliopangwa Kanembwa na yeyote mwenye uelewa wa JKT Kanembwa Kigoma atusaidie mazingira na hali kwa ujumla ya kambi ya Kanembwa

wewe nenda jeshi wataka mazingira ili iweje? sasa ukijua mazingira? Just Go ni amri sio ombi!! pole sana. acha uselule hata kabla hujareport
 
mkuu unatishwa bure,kule ni jkt sio tpdf. watu waliopitia jkt hujifanya wanajua kila kitu kuhusu jeshi tena wanajiona makomando wakati walikuwa wanaangushia tu(kudoji).
vitu ulivyoambiwa ubebe,beba na ulivyokatazwa,acha.
jkt raha sana mdogo wangu hakuna mateso,kila kitu ni sehemu ya mafunzo.
usipende mazoea sana na maafande,km ni KE ndio kabisaaa usiwachekee maafande.
mkesha upo ila unazoeleka,usijifanye mlegevu sana wala mjuaji sana.
ripoti siku 2kabla ya mafunzo kuanza,pia wanakagua mizigo getini.
MWISHO: akili za kuambiwa changanya na zako.

Mi siwatishi bt nimewaambia ukweli na wakirud watatupa ripot...katka kambi zote za jkt tanzania...kanembwa ni noma kwa kuwasaidia ingien gugo andka 824kj kanembwa utapata ripot...

Na kule hutakiw kujfanya kiherehere au mbish.
 
Hata mi nawaxhangaa, xehem nyngne hata hainogi waxhamba tu hao.. yan x wanafananixha na s..!!!! pambaff....!!!

Kweli kabixa mkuu tuxipokuwa makini na lugha yetu tutaipoteza kabixa yaani mtu na akili zako kwenye x unaweka s....!!

Pambaff xana hao..
 
Mi siwatishi bt nimewaambia ukweli na wakirud watatupa ripot...katka kambi zote za jkt tanzania...kanembwa ni noma kwa kuwasaidia ingien gugo andka 824kj kanembwa utapata ripot...

Na kule hutakiw kujfanya kiherehere au mbish.

ya ni kweli mkuu... kule napafamu kiasi fulani kuna ugumu ila watu wanapita tu.
 
Danny Job;

Mkuu danny umeongea facts tupu hats mtabila 825kj mambo ni hayohayo halafu kanembwa ni njiani kabisa ukitokea nyakanazi njia ya kahama
 
Last edited by a moderator:
Nyie vijana...sikilizeni wenzenu wasemacho mkija huku tunawatoa umaarufu tunawajengea ukakamavu...tukutane main gate siku ya kuripoti
 
Oljoro nw kuna koz ya tpdf ndo mana hawajachukua bt unaeza enda msange,ruvu,au mtabila

Aende mtabila kuna maafande peace sana kamanda major GB kazaula na msaidizi wake major Tj ngailo kuna maluteni wako poa sana mfano luteni aj massawe ,Lt SK mwakyobwe,Lt chiteji(huyu ni chief wa ma mp),Lt nyakohanda ng'oncho lusui haahahaha wako safi hawa watu pamoja na RSM wa pale babu Fulani hivi ana mustacho yeye ni Warrant officer I mtabila utakula sana ndizi parachichi maembe Hadi utachoka
 
Back
Top Bottom