Friji la mtumba
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 277
- 434
Watu wa “sitaki ndoa, sitaki stress, nataka amani” mnasahau kitu kimoja muhimu:
Hata ukiamua kubaki single, maisha hayana warranty ya furaha ya kudumu.
Mnasema ndoa ina kelele?
Basi tuambieni single life haina shida ya upweke usiku?
Au haina pressure ya kulipa kila kitu mwenyewe? (Kusapotiana)
Au haina shida ya kutotambulika kwenye familia kama mtu mzima kamili?
Mnasema wake/wume wa siku hizi hawajielewi?
Sawa. Ila mmesahau hata simu mpya ikitoka, kuna bugs, updates na charging issues – lakini bado tunaitunza kwa sababu tunaipenda!
Ndoa sio ya malaika. Ni ya binadamu wenye mapungufu wawili wanaojifunza kuvumiliana.
Kukataa ndoa kwa sababu “hutaki matatizo” ni sawa na kusema hutaki kuendesha gari kwa sababu barabarani kuna mashimo!
Kwa hiyo team kataa ndoa, je ni hekima au kisingizio cha woga wa kuishi kwa kuwajibika?
Tupeni sababu zenu, bila matusi – labda mna point tusiowahi kuiona!