Team maalum kutoka Kenya kuwasili Dar kuishawishi serikali ikubali kusign EPA za EAC-EU

Tatizo ni kwamba, hiyo EPA haina manufaa yoyote kwa Tanzania yetu, sasa kwanini tusaini? kwa sababu tu tunataka kuwanufaisha wakulima wa maua wa Kenya?

Sisi kama TanZania tunanufaika nini na hiyo EPA kwa maana tayari sisi tuna uwezo wa kuuza bidhaa zetu EU tax free bila hata ya hiyo EPA, sasa kwa nini tujifunge na mikataba mingine?
Tunawabania kama walivotubania kuuza meno ya tembo zetu!
 
Kama hawaji na chochote cha ku offer Tz wanajisumbua, hizo per diem na tickets fares wangetumia kwa maendeleo ya watu wa Kenya.
 
Tatizo ni kwamba, hiyo EPA haina manufaa yoyote kwa Tanzania yetu, sasa kwanini tusaini? kwa sababu tu tunataka kuwanufaisha wakulima wa maua wa Kenya?

Sisi kama TanZania tunanufaika nini na hiyo EPA kwa maana tayari sisi tuna uwezo wa kuuza bidhaa zetu EU tax free bila hata ya hiyo EPA, sasa kwa nini tujifunge na mikataba mingine?
Ni kama ule mpango wa rwanda wa kuwa na visa free.
 
if i may ask, why should Kenya access the benefits of a least developed country while is developed country? Can any Kenyan in here explain to me? Tanzania, Uganda, Rwanda and Burundi should not give in on this! IMHO

nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican,Ngongo, Ab_Titchaz,mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980 , Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Mwanakijiji, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
Wakenya wanataka kututumia kama madaraja ya kufika wanakotaka kwenda. Mbona VAT walifanya bila kutushirikisha? Nani aliipata hiyo faida?
Either you don't know what VAT is or ....nothing, I'll stick with you don't know.
 
mimi na nadhani wakenya wengi hawanashida na Tz kukataa kusign hio dili...

shida ni vile nyi waswahili hamna uume wa kusimama na msimamo wenu mbele ya watu, mlipoteza mda ya watu wakati discussion za hio dili ilikua inazungumziwa, mlinyamaza na kuchekacheka na haya wakati watu wanaelewana, kila mtu akasema mawazo yake kutoka nchi zao, kila mtu akafika mahali ambapo skaona dili ya EAC na EU iko sawa, alafu sasa ilikua almost a done deal, alafu imebaki tu ku sign deal, hapo ndo mnaamka huko kwenu na kuanza kudai hio dili si nzuri kwenu!!!! WTF!! kueni wanaume bana, sasa mnataka kutongozwa tena, ka.a mngekua mmekataa dili toka mwanzo hakuna mtu angewashuku,
sasa ni either waziri wenu walikua hawana nguvu za kuamua kwa niaba ya Tz na waliporudi nyumbani Magu aliwakemea kwanini walifanya maamuzi ya kukubali na hayo hayakua matakwa ya watz

ama Tz yenyewe ilikua na mpango wa kusumbua kenya na ku sabotage kenya ili tu wapate faida nyingi zaidi kwa maua... maana wanajua tukiwa sawa hakuna vile tz itapita kenya..

ama pia inaezekana serikali ya tz haina chain of command, hakuna communication kati ya mawaziri na rais, kila mtu anafanya mambo yake tu bila kumwambia mwenzake, ikija wakati wakusign hapo ndo wanaanza kulizana maswali, 'hii imetoka wapi?, na hii nayo ni mkataba gani!,? we unawazimu we! mbona ulikubali hii dili? ama wakenya walikua wanaongea lugha nyengine na we ulikua hauelewi ukabaki ukitingisha kichwa tu!!! ebo!
 
Just empty words,
Naona sasa mnazidi kuisoma Namba..
Mwanaume hufanya maamuzi,
Na haya ndio maamuzi, hatutasaini that useless agreement.. This is a very firm decision, au wewe unataka nini?
 
Umesoma maelezo yako kabla ya kupost?
Maana unajiumauna tu hahaha,
Magu sio wakuchezea
Tutawahakikishia kuwa Tanzania sio wanafiki
Mtakuja Dar na mtaondoka patupu.
Hatuwezi Ku sign kuisaidia Kenya
Mijitu yenye Roho Mbaya
 
sasa mwanamme anasema hivyo mbele ya watu toka mwanzo kwamba hawataki hio dili....
kwa mienzi sita mmekua mkichekacheka wakati watu wanajadiliana na kumaanisha mlikua hamna shida wala upingamizi, alafu wakati kila mtu ameelewana mnarudi kwenu na kuanza kudai eti hamta sign dili..... mnakaa kama mbwa koko vile, badala ya kupambana na mtu ana kwa ana, anakimbia mbali alafu ndo anaanza kubweka kwa nguvu kana kwamba ye ndo bingwa, kama nyi wanaume bweka mbele ya mwanamme meenzio, si kijifichaficha alafu unakimbia kwenu ndo unaanza kubweka kwa nguvu ati hatutasign hio dili...... haya basi, mwanamme ameamua kuja huko nyumbani kwenu ambako mbwa koko mko na nguvu sababu mko nyumbani na mko wengi ili umwambie mbele ya sura yake kwamba hamtasign dili na sababu ya kina na mseme mnatakaje, musianze kukimbia kimbia huko mwanamme akija, keti naye upande mwengine wa meza kama mwanamme! na useme ukweli, si muanze kutoa visababu vya kitoto kama hatuko ready, we need more time, sema hamtaki leo,wala kesho, wala kesho kutwa ili kama kenya tujue na tujipange kivyetu
 
sasa kwanini mlienda kwa hizo meetings zote na ku kubali kila kitu? uzembe mwingi tu, mlikua mnaenda kunywa chai na sambusa , alafu unaskia sambusa iko tamu, hapo hapo unaulizwa hio dili namba 7 iko vipi? unasema hapo sawa kabisa (unafikiri umeulizwa sambusa iko vipi)
 
Ujumbe wa Kenya ukifika Dar wakatembezwe daraja la Mwl Nyerere,Mabus ya mwendo kasi na Mkuu wa Mkoa wa Dar Mr Makonda si vibaya akiwaomba mchango wa madawati.
Ikibidi wapelekwe na ubungo wakaonane na Mbunge Mh.Saed Kubenea..[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
They can not change their mind, we should just move on, after all soon they will be in the same pot... Though having these guys as our neighbor is a hustle, hawatutakii enyewe.

tutawaelewa tu kwa sharti la kupitisha mafuta yenu TANGA
 
sasa mwanamme anasema hivyo mbele ya watu toka mwanzo kwamba hawataki hio dili....
kwa mienzi sita mmekua mkichekacheka wakati watu wanajadiliana na kumaanisha mlikua hamna shida wala upingamizi, alafu wakati kila mtu ameelewana mnarudi kwenu na kuanza kudai eti hamta sign dili..... mnakaa kama mbwa koko vile, badala ya kupambana na mtu ana kwa ana, anakimbia mbali alafu ndo anaanza kubweka kwa nguvu kana kwamba ye ndo bingwa, kama nyi wanaume bweka mbele ya mwanamme meenzio, si kijifichaficha alafu unakimbia kwenu ndo unaanza kubweka kwa nguvu ati hatutasign hio dili...... haya basi, mwanamme ameamua kuja huko nyumbani kwenu ambako mbwa koko mko na nguvu sababu mko nyumbani na mko wengi ili umwambie mbele ya sura yake kwamba hamtasign dili na sababu ya kina na mseme mnatakaje, musianze kukimbia kimbia huko mwanamme akija, keti naye upande mwengine wa meza kama mwanamme! na useme ukweli, si muanze kutoa visababu vya kitoto kama hatuko ready, we need more time, sema hamtaki leo,wala kesho, wala kesho kutwa ili kama kenya tujue na tujipange kivyetu
Ulikuepo kwenye vikao sisi sio wajinga tuliwakatalia toka kwenye vikao ila mkalazimisha na kuwashawishi wanachama wengine wakubaliane na nyinyi mkiwa mmesahau kua kwenye kutia sign kila nchi itaweka sahihi yake na ni lazima kila nchi itie saini ili hiyo mikataba iwe valid mkawa mnajipa moyo kwamba mtaweza kutushawishi oneday tusaini Sasa naona mmeona kua tulikua serious hamuamini mnaanza safari za kuna tz kutushawishi sisi tunamsimamo since day one waambien viongoz wenu wawape minutes za vikao namuone ni wapi sisi tulikuabaliana na izo mambo za EPA
 
mimi na nadhani wakenya wengi hawanashida na Tz kukataa kusign hio dili...

shida ni vile nyi waswahili hamna uume wa kusimama na msimamo wenu mbele ya watu, mlipoteza mda ya watu wakati discussion za hio dili ilikua inazungumziwa, mlinyamaza na kuchekacheka na haya wakati watu wanaelewana, kila mtu akasema mawazo yake kutoka nchi zao, kila mtu akafika mahali ambapo skaona dili ya EAC na EU iko sawa, alafu sasa ilikua almost a done deal, alafu imebaki tu ku sign deal, hapo ndo mnaamka huko kwenu na kuanza kudai hio dili si nzuri kwenu!!!! WTF!! kueni wanaume bana, sasa mnataka kutongozwa tena, ka.a mngekua mmekataa dili toka mwanzo hakuna mtu angewashuku,
sasa ni either waziri wenu walikua hawana nguvu za kuamua kwa niaba ya Tz na waliporudi nyumbani Magu aliwakemea kwanini walifanya maamuzi ya kukubali na hayo hayakua matakwa ya watz

ama Tz yenyewe ilikua na mpango wa kusumbua kenya na ku sabotage kenya ili tu wapate faida nyingi zaidi kwa maua... maana wanajua tukiwa sawa hakuna vile tz itapita kenya..

ama pia inaezekana serikali ya tz haina chain of command, hakuna communication kati ya mawaziri na rais, kila mtu anafanya mambo yake tu bila kumwambia mwenzake, ikija wakati wakusign hapo ndo wanaanza kulizana maswali, 'hii imetoka wapi?, na hii nayo ni mkataba gani!,? we unawazimu we! mbona ulikubali hii dili? ama wakenya walikua wanaongea lugha nyengine na we ulikua hauelewi ukabaki ukitingisha kichwa tu!!! ebo!
Mamayako ndo hana uume ukiachilia mbali wa kusimama na si Wanaume rijali wa Kiswahili! Pumbavu wewe uandike Kikuyu na si Kiswahili...atu hatuna uume wa kusimama? Umeskia sisi mahanithi?
 
Keshapanic huyo achana nae
 
sasa kwanini mlienda kwa hizo meetings zote na ku kubali kila kitu? uzembe mwingi tu, mlikua mnaenda kunywa chai na sambusa , alafu unaskia sambusa iko tamu, hapo hapo unaulizwa hio dili namba 7 iko vipi? unasema hapo sawa kabisa (unafikiri umeulizwa sambusa iko vipi)

Tangu lini Wakenya wakajua kupika? Hovyo kabisa; subirini tuvune mahindi tuwape Msaada Kama kawaida!!!
 
Back
Top Bottom