Team mbili ipi itashinda ? Team A " kataa utekaji na mauaji. Team B, utekaji na mauaji ni sawa

Team mbili ipi itashinda ? Team A " kataa utekaji na mauaji. Team B, utekaji na mauaji ni sawa

matonyamswanu

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2025
Posts
358
Reaction score
433
Napenda kueleza hisia zangu kuhusu haya yanayoendelea nchini Tanzania, kiasi cha kuundwa rasmi team mbili kuu.

Yalianza rasmi enzi za Magufuli, kutekwa risasi, kufungwa kufilisiwa nk.

Huenda ni kweli hakuna serikali yoyote duniani isiyojitetea na kujilinda kutumia vyombo vya ulinzi(dola). Japo sielewi kwa kujilinganisha na nchi ipi kwa haya mauaji.

Swali kuu. Team gani iko sahihi, na team gani hatimaye itaibuka mshindi ?

Ushindi wa team gani utaleta mema, furaha, upendo nk. Kwa makusudi sijaweka maneno mawili kinzani ya( haki na amani.)
 
Correction: yalianza kipindi cha Kikwete
1. Ulimboka alitekwa akang'olewa meno.
2. Daudi Mwangosi aliuawa kwa makusudi.
3. Mkasa wa akina kubenea kumwagiwa tindikali.

Kikwete na genge lake ndiyo walifanya mauaji awamu ya 5 ili kumchafua Magufuli na Magufuli alijua hili.

Kuna siku walitaka kumteka Polepole akiwa madarakani.

Mwisho: Adui wa taifa letu ni Wahuni wakiongozwa na Kikwete.
 
Bi chura anaamini eti huu ni 'upepo'
Utapita tuu..

Damu ulizomwaga zipo mikononi mwako na lazima utazilipa kwa gharama yoyote.
 
Back
Top Bottom