Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Ameandika Hilda Newton
"Tulienda kwenye Uchaguzi wenzetu walikuwa na msemo wao unasema ‘UKIPIGWA HAKUNA KUHAMA CHAMA’ wakiamini kwamba Mhe. Lissu na Heche watapigwa na wakipigwa hawatabaki ndani ya Chadema."
"Mungu si Athuman Mhe. Lissu na Heche wakashinda sasa wale wale waliokuwa wanatuambia tukipigwa HAKUNA KUHAMA CHAMA wao wanaiomba Serikali iwasaidie Chadema kifutiwe usajili ili tukose wote."