Pre GE2025 Team Mbowe baada ya kuangukia pua uchaguzi sasa hivi wanaiomba Serikali waifutie usajili CHADEMA ili wote wakose

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hao ni mapandikizi ya CCM na wajinga wa TISS waliotumwa kuleta mvurugano hapo CHADEMA.

Acha waendelee kula hela za hao CCM na TISS wajinga ila hawatafanikiwa maana CHADEMA ni mpango wa Mungu.

Wanajeshi wetu wanakufa Congo, Wananchi hawana madawa hospitali na maji ya Uhakika# Tina miundombinu mibovu ya barabara kila sehemu ila badala fedha zielekezwe kwenye mambo ya msingi zinapelekwa kutengeneza mamluki CHADEMA ili kuifanya isi focus kwenye No Reform No Election.

Ni maombi yangu kwa Mungu watokee wenye akili JWTZ wafanye mapinduzi kuwaondoa madarakani hawa wajinga CCM wanaotuharibia Taifa letu.
We siasa huwezi utakuja kufa na sonona, JWTZ ni jeshi linalojitambua siyo km we nyumbu
 
Hao ni mapandikizi ya CCM na wajinga wa TISS waliotumwa kuleta mvurugano hapo CHADEMA.

Acha waendelee kula hela za hao CCM na TISS wajinga ila hawatafanikiwa maana CHADEMA ni mpango wa Mungu.

Wanajeshi wetu wanakufa Congo, Wananchi hawana madawa hospitali na maji ya Uhakika# Tina miundombinu mibovu ya barabara kila sehemu ila badala fedha zielekezwe kwenye mambo ya msingi zinapelekwa kutengeneza mamluki CHADEMA ili kuifanya isi focus kwenye No Reform No Election.

Ni maombi yangu kwa Mungu watokee wenye akili JWTZ wafanye mapinduzi kuwaondoa madarakani hawa wajinga CCM wanaotuharibia Taifa letu.
LIsu anajua ku deal na hao ndezi wala hamna haja ya kupanic, akaunti ya miamala ya mchome iangaliwe kashaingiziwa fungu lake
 
Nilijua lisu hawezi kuelewana na team mbowe, bahati mbaya team mbowe ndio wenyekiti wa kanda zote. Lisu atahujumiwa na kanda zote
Usimfananishe LISSU na takataka za ajabu.

Kama alivyoshinda Uchaguzi, ndivo na ataendelea kushinda kama kawaida.

Timu Mbowe hawana la kufanya
 
Hao ni mapandikizi ya CCM na wajinga wa TISS waliotumwa kuleta mvurugano hapo CHADEMA.

Acha waendelee kula hela za hao CCM na TISS wajinga ila hawatafanikiwa maana CHADEMA ni mpango wa Mungu.

Wanajeshi wetu wanakufa Congo, Wananchi hawana madawa hospitali na maji ya Uhakika# Tina miundombinu mibovu ya barabara kila sehemu ila badala fedha zielekezwe kwenye mambo ya msingi zinapelekwa kutengeneza mamluki CHADEMA ili kuifanya isi focus kwenye No Reform No Election.

Ni maombi yangu kwa Mungu watokee wenye akili JWTZ wafanye mapinduzi kuwaondoa madarakani hawa wajinga CCM wanaotuharibia Taifa letu.
Kaka if you know you know .

Mbowe na Genge lake walimshindwa LISSU Licha ya Pesa zao .

LISSU sio mburula , kushindana naye jipange .
 
Hiki Chama kinajiua chenyewe kwa kasi, kwanini matatizo yao wasiyajadili ndani kuliko kuyafunua huku mitandaoni? Sisi tuwasaidieje sasa
Wakijadili ndani hawataonekana wanakipenda chama.Hapo ni mkakati wakujisogeza karibu na mwenyekiti ili waje wapate kuungwa mkono badae kwenye harakati za kupata ubunge.Hakuna chochote hapo zaidi ya kila mtu kukodolea fursa matumbo yashibe kupitia kodi za wananchi.
 
Ameandika Hilda Newton

"Tulienda kwenye Uchaguzi wenzetu walikuwa na msemo wao unasema ‘UKIPIGWA HAKUNA KUHAMA CHAMA’ wakiamini kwamba Mhe. Lissu na Heche watapigwa na wakipigwa hawatabaki ndani ya Chadema."

"Mungu si Athuman Mhe. Lissu na Heche wakashinda sasa wale wale waliokuwa wanatuambia tukipigwa HAKUNA KUHAMA CHAMA wao wanaiomba Serikali iwasaidie Chadema kifutiwe usajili ili tukose wote."

Watakosa wao
 
Hao ni mapandikizi ya CCM na wajinga wa TISS waliotumwa kuleta mvurugano hapo CHADEMA.

Acha waendelee kula hela za hao CCM na TISS wajinga ila hawatafanikiwa maana CHADEMA ni mpango wa Mungu.

Wanajeshi wetu wanakufa Congo, Wananchi hawana madawa hospitali na maji ya Uhakika# Tina miundombinu mibovu ya barabara kila sehemu ila badala fedha zielekezwe kwenye mambo ya msingi zinapelekwa kutengeneza mamluki CHADEMA ili kuifanya isi focus kwenye No Reform No Election.

Ni maombi yangu kwa Mungu watokee wenye akili JWTZ wafanye mapinduzi kuwaondoa madarakani hawa wajinga CCM wanaotuharibia Taifa letu.
Tatizo chadema hasa lisu haijulikani mnataka Nini wakati JPM akipinga ufisadi mlimpinga wakati JPM akijenga miundo mbinu ya barabara, reli na bwawa mlimpinga wakati analeta uwajibigaji Kwa watumishi wa umma mlisema anawaonea.

Naona Tanzania hatuna chama Cha siasa chenye dira na sera si CCM wala chadema tena Kwa huyu wa 4R na machawa kwenye mkutano mkuu sijui labda kidogo JMP alijulikana anasimamia Nini licha ya mapungufu yake
 
Hahahha
 
Team mbowe wameshapeleka malalamiko kwa msajili wa vyama kuwa lisu kavunja katiba ya chama, huyu dada anatoa taarifa tu
Vp Yule malisa aliyehoji Samia kuvunja katiba ya CCM kufutwa uanachama ni Sawa mbona hatujamsikia huyo msajili akitoa pua nje
 
Wakijadili ndani hawataonekana wanakipenda chama.Hapo ni mkakati wakujisogeza karibu na mwenyekiti ili waje wapate kuungwa mkono badae kwenye harakati za kupata ubunge.Hakuna chochote hapo zaidi ya kila mtu kukodolea fursa matumbo yashibe kupitia kodi za wananchi.
Mkuu hapo umenifungua macho aisee, nakubaliana na wewe hii ni Strategy
 
Mbowe anataka kuwa kama Lipumba kuua chama alichoshiriki kukijenga, aibu gani hii.
 
Wanaendelea kujustify nafasi yao ili waendelee kupiga hela za Mama Abdul kwa kujaribu kuleta mifarakano Chadema.
Mbowe ile b12 bado ipo alimuambia maza kuwa japo ameshindwa uchaguzi ataitumia kumkwamisha Lissu kama hivi.
 
Back
Top Bottom