Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wapi wamesema hivyo? Wao wanataka sheria ifate na sio kuteuana kienyeji enyejiAmeandika Hilda Newton
"Tulienda kwenye Uchaguzi wenzetu walikuwa na msemo wao unasema ‘UKIPIGWA HAKUNA KUHAMA CHAMA’ wakiamini kwamba Mhe. Lissu na Heche watapigwa na wakipigwa hawatabaki ndani ya Chadema."
"Mungu si Athuman Mhe. Lissu na Heche wakashinda sasa wale wale waliokuwa wanatuambia tukipigwa HAKUNA KUHAMA CHAMA wao wanaiomba Serikali iwasaidie Chadema kifutiwe usajili ili tukose wote."
Kwan sio kweli CCM Kuna Timu JPM?.Huyo dada ana wenge sana...
Umesikia popote yule Malissa anaepinga uteuzi wa Mwenyekit CCM akiitwa team JPM?
CDM iuwawe na Mchome alafu iokolewe na huyo kandambili wa temeke...
Wajinga wakubwa .
Hao ni mapandikizi ya CCM na wajinga wa TISS waliotumwa kuleta mvurugano hapo CHADEMA.
Acha waendelee kula hela za hao CCM na TISS wajinga ila hawatafanikiwa maana CHADEMA ni mpango wa Mungu.
Wanajeshi wetu wanakufa Congo, Wananchi hawana madawa hospitali na maji ya Uhakika# Tina miundombinu mibovu ya barabara kila sehemu ila badala fedha zielekezwe kwenye mambo ya msingi zinapelekwa kutengeneza mamluki CHADEMA ili kuifanya isi focus kwenye No Reform No Election.
Ni maombi yangu kwa Mungu watokee wenye akili JWTZ wafanye mapinduzi kuwaondoa madarakani hawa wajinga CCM wanaotuharibia Taifa letu
Kinacholalamikiwa uteuzi wa viongozi kamati kuu kuwa haukuzingatia katiba kupitishwa kwaoUchaguzi wa Chadema ulifanyika kwa haki na uwazi,mshindi amejulikana.
Huyu dada naye aache siasa za kikuda! Uchaguzi umeisha hakuna haja ya kudukua makaburi!Ameandika Hilda Newton
"Tulienda kwenye Uchaguzi wenzetu walikuwa na msemo wao unasema ‘UKIPIGWA HAKUNA KUHAMA CHAMA’ wakiamini kwamba Mhe. Lissu na Heche watapigwa na wakipigwa hawatabaki ndani ya Chadema."
"Mungu si Athuman Mhe. Lissu na Heche wakashinda sasa wale wale waliokuwa wanatuambia tukipigwa HAKUNA KUHAMA CHAMA wao wanaiomba Serikali iwasaidie Chadema kifutiwe usajili ili tukose wote."
Team mbowe wameshapeleka malalamiko kwa msajili wa vyama kuwa lisu kavunja katiba ya chama, huyu dada anatoa taarifa tuHuyu dada naye aache siasa za kikuda! Uchaguzi umeisha hakuna haja ya kudukua makaburi!
Wanaendelea kujustify nafasi yao ili waendelee kupiga hela za Mama Abdul kwa kujaribu kuleta mifarakano Chadema.Team mbowe wameshapeleka malalamiko kwa msajili wa vyama kuwa lisu kavunja katiba ya chama, huyu dada anatoa taarifa tu
Hapa unapiga ramli, na matokeo yake ni kutulisha matangopori.Uchaguzi wa Chadema ulifanyika kwa haki na uwazi,mshindi amejulikana.
Walioshindwa bado hawajapona,wana maumivu makali.Itakuwa walikuwa na plan mbaya dhidi ya watanzania ila Mungu fundi amemwezesha mwenye haki Tundu Antipas Lissu ashinde.
Chama kinaenda kuwa kama CUF! Wakikosa ruzuku watafurukuta hawa?Watu waliwatahadharisha machawa wa viongozi wa CHADEMA hapa JF kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi waweke akiba ya maneno wakawa wabishi. Wakaamua kumaliza maneno na kutukanana, kutambiana na kufanyiana dhahaka na dharau za hali ya juu. Haya uchaguzi umeisha sasa kutibu makovu ya uchaguzi imekuwa kazi ngumu sana kwao badala yake wanazidi kukwanguana makovu kwa hiyo vidonda vipo pale pale na vitachukua muda mrefu kupona na akili zikiwakaa sawa uchaguzi mkuu utakuwa umeshapita na CCM itakuwa imeishachukua nchi .
Mzee Mbowe ambaye ndiye angetemewa aongoze jopo la maridhiano naye alizushiwa, alitwezwa utu wake, alidhihakiwa, n.k. sasa nani ataitisha mkutano wa maridhiano ili chama kiende mbele. Suluhisho ninaliona ni Mbowe na Lissu kukutana wenyewe kwa wenyewe lakini hili nalo ni gumu kwa kuwa Lissu hana kifua cha kutunza siri atayaleta hadharani hata yale yanayotakiwa kuishia ndani mfano mzuri ni ule mkutano tulioambiwa kuwa uliitishwa Msimbazi.
Ni mtizamo tu.
We bwege hujawahi kuwa na akili, hv kwann ni kilaza hivyo? Ni udumavu wa lishe?Hao ni mapandikizi ya CCM na wajinga wa TISS waliotumwa kuleta mvurugano hapo CHADEMA.
Acha waendelee kula hela za hao CCM na TISS wajinga ila hawatafanikiwa maana CHADEMA ni mpango wa Mungu.
Wanajeshi wetu wanakufa Congo, Wananchi hawana madawa hospitali na maji ya Uhakika# Tina miundombinu mibovu ya barabara kila sehemu ila badala fedha zielekezwe kwenye mambo ya msingi zinapelekwa kutengeneza mamluki CHADEMA ili kuifanya isi focus kwenye No Reform No Election.
Ni maombi yangu kwa Mungu watokee wenye akili JWTZ wafanye mapinduzi kuwaondoa madarakani hawa wajinga CCM wanaotuharibia Taifa letu.