Pre GE2025 Team Mbowe baada ya kuangukia pua uchaguzi sasa hivi wanaiomba Serikali waifutie usajili CHADEMA ili wote wakose

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hiki Chama kinajiua chenyewe kwa kasi, kwanini matatizo yao wasiyajadili ndani kuliko kuyafunua huku mitandaoni? Sisi tuwasaidieje sasa
Unapojisaidia nani anakusaidiaga?
 
Huyo dada ana wenge sana...

Umesikia popote yule Malissa anaepinga uteuzi wa Mwenyekit CCM akiitwa team JPM?

CDM iuwawe na Mchome alafu iokolewe na huyo kandambili wa temeke...

Wajinga wakubwa .
Nongwa itakuua safari hii. Cdm hawana chochote cha kuiga toka ccm.
 
Mbowe na timu yake ni watu wa hovyo
 
CHADEMA kama haikufa wala kugawanyika kwa figisu mbaya za ccm basi hata huyo msajili wa mchongo hataweza kuifuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…