Ni nani ?
Ukiona hivyo jua akili hamna watu hatuna pesa unapost thread kama hiiNI AIBU KUPOTEZA MUDA KUSHABIKIA UPUMBAVU AFU JIONI UNAKWENDA KULA UGALI WA KENGELE....mkuu hizi timu za kipuuzi kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo mana magu kapaisha bei za bando...wauweeee[emoji3][emoji3]
Kwani wewe umejuaje ni Massage ya Hamisa?Kwa hiyo Hamisa ni mwanaume alivyotukanwa bitch ,yeye hajadharirishwa?
Imagine hawa ni wanawake wanakaa kbs kuanza kumdhalilisha mwanamke mwenzao kiasi hiki.
Hivi wanafikir wanamkomoa zari? Ukweli zari is far more better kuliko jumla ya hiyo team yote. And hapo wanazidi kuwapa wanaume fimbo ya kutugonga vichwan
Sent using Jamii Forums mobile app
Well....(ugali wa kengele)NI AIBU KUPOTEZA MUDA KUSHABIKIA UPUMBAVU AFU JIONI UNAKWENDA KULA UGALI WA KENGELE....mkuu hizi timu za kipuuzi kabisa
Yani Kama watu wa dar wanavyosubiri kukata tiketi za mwendokasi. [emoji4]N
Maana yake nn