Team Mobeto wajibu mapigo!

Team Mobeto wajibu mapigo!

Hiyo ni team wema,hamisa hana timu kubwa hivyo. Vinuka mkojo bana
 
Mnaonaje hii vita tukiwaachia wenyewe wapigane sisi tusubiri mshindi tu.
 
Hizi team zinacheza ligi daraja la ngapi?

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Hamisa anatia hasira aseee,,,sipati picha zari anaumia kiasi gani,,, sijui aliahidiwa nini na diamond mpaka akamzalia
 
Bora useme na wewe G. Mwanaume anayejitambua hawezi KAMWE kutumia huo upumbavu kumdhalilisha mwanamke yeyote yule.

Imagine hawa ni wanawake wanakaa kbs kuanza kumdhalilisha mwanamke mwenzao kiasi hiki.

Hivi wanafikir wanamkomoa zari? Ukweli zari is far more better kuliko jumla ya hiyo team yote. And hapo wanazidi kuwapa wanaume fimbo ya kutugonga vichwan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom