Team single tunateseka

Maisha pesa

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2015
Posts
681
Reaction score
630
Jamani hii hali ya hewa mvua na kibaridi team single tunateseka sana. Wale wenye wake zao ndo wakati wa kututambia huu utasikia kwanini hauoi?

Akyanani baridi linalonipiga nimeamua kutafuta mke.
 
Hii hali ya mvua mvua inanifanya niwamiss Tausi, Mariamu, Prisca, Asha, Sania, na Ikupa.

Wanakokaa hata bajaji zimegoma kwenda kwa ajili ya ubovu wa barabara.

Sijui nifanyeje tu.
 
Jamani hii hali ya hewa mvua na kibaridi team single tunateseka sana. Wale wenye wake zao ndo wakati wa kututambia huu.. utasikia kwanini hauoi? Akyanani baridi linalonipiga nimeamua kutafuta mke.
Kwanini utafute Mke usitafute Mwanamke?
 
Hii hali ya mvua mvua inanifanya niwamiss Tausi, Mariamu, Prisca, Asha, Sania, na Ikupa.

Wanakokaa hata bajaji zimegoma kwenda kwa ajili ya ubovu wa barabara.

Sijui nifanyeje tu.
Pole mkuu kanyaga hata kwa mguu ufike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…