Team single tunateseka

Team single tunateseka

Jamani hii hali ya hewa mvua na kibaridi team single tunateseka sana. Wale wenye wake zao ndo wakati wa kututambia huu utasikia kwanini hauoi?

Akyanani baridi linalonipiga nimeamua kutafuta mke.
Kumbe wanawake ni mablanket?
 
Wewe kavu nini? Na those guys from polar regions wote Wameoa?

When you are dead, you don't even know that you are dead. It's only pain for others. Same thing apply when you are stupid.
Mkuu nipe mkeo
 
Jamani hii hali ya hewa mvua na kibaridi team single tunateseka sana. Wale wenye wake zao ndo wakati wa kututambia huu utasikia kwanini hauoi?

Akyanani baridi linalonipiga nimeamua kutafuta mke.
Kipi haswa kinakushinda kukamata wako,umtafunee bila papara, chumvi, limao na pilipili kwa mbali, nini haswa umeshindwa kuwinda, muombe BITOZ akupe mikakati ya uwindaji,maana alishaleta thread kibao za jinsi ya kuwinda kwa mafanikio....
 
Niitie BITOZ anipe maujanja
 
Back
Top Bottom