Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha haHayo mambo ya wavulana kina 47 pro
We ni mwanaume wa dar??Jamani hii hali ya hewa mvua na kibaridi team single tunateseka sana. Wale wenye wake zao ndo wakati wa kututambia huu utasikia kwanini hauoi?
Akyanani baridi linalonipiga nimeamua kutafuta mke.
Kaoe uone, usifikiri kuna raha huko, ukiona njiani wako kwenye gari,wameshikana mikono unavutiwa sio, hayo sio maisha halisi wanayoishi, ni bandiaJamani hii hali ya hewa mvua na kibaridi team single tunateseka sana. Wale wenye wake zao ndo wakati wa kututambia huu utasikia kwanini hauoi?
Akyanani baridi linalonipiga nimeamua kutafuta mke.
Tunafunga ndoa[emoji28]Baridi ikiisha.......
neno kuntuKwani wanaofuga kuku ndo pekee wanaokula kuku????
Kamata mmoja barabarani huko kachinje.
I feel your pain.mie mwenyewe nmezinguana na bishosti nkasahau kama msimu wa baridi unakuja.saiz naanza kujirudi tartiiiibNamkumbuka jamila wangu,tulizinguana march mwaka huu,mtoto alikua na hot papuch na full nyegez,saa hizi ningekua nakonga nyoyo tu.sasa napigwa na baridi na kunywa tangawizi tu.
Tunajipanga kwa baridi ijayoBaridi ikiisha.......
Umetoka tuition ukakimbilia hapa nenda discussion tuachie wakubwa mambo yetuJumatatu ifike urudi shule
Huo msemo umepitwa na wakatiWe ni mwanaume wa dar??
Utakuwa siyo riziki weweUnateseka wewe tu mkuu sisi tupo comfortable, tunatafuta pesa tu