Team single tunateseka

Team single tunateseka

Team single huu ndio mda wenu wa dildo na sabuni +mafuta ..huu msimu watazaji wa pornograph wanaongezeka kila site
 
Dah mkuu nimebaki nacheka tu hasa nikikumbuka kuwa bibi arusi aligegedwa na rafiki angu siku mbili kabla ya harusi
Maisha mema ya ndoa:-X
 
Jamani hii hali ya hewa mvua na kibaridi team single tunateseka sana. Wale wenye wake zao ndo wakati wa kututambia huu utasikia kwanini hauoi?

Akyanani baridi linalonipiga nimeamua kutafuta mke.
We ni mwanaume wa dar??
 
Jamani hii hali ya hewa mvua na kibaridi team single tunateseka sana. Wale wenye wake zao ndo wakati wa kututambia huu utasikia kwanini hauoi?

Akyanani baridi linalonipiga nimeamua kutafuta mke.
Kaoe uone, usifikiri kuna raha huko, ukiona njiani wako kwenye gari,wameshikana mikono unavutiwa sio, hayo sio maisha halisi wanayoishi, ni bandia
 
Unateseka wewe tu mkuu sisi tupo comfortable, tunatafuta pesa tu
 
Namkumbuka jamila wangu,tulizinguana march mwaka huu,mtoto alikua na hot papuch na full nyegez,saa hizi ningekua nakonga nyoyo tu.sasa napigwa na baridi na kunywa tangawizi tu.
I feel your pain.mie mwenyewe nmezinguana na bishosti nkasahau kama msimu wa baridi unakuja.saiz naanza kujirudi tartiiiib
 
Bas watu wa iringa wangekuwa wameoa woote kwa mtindo huo
 
Back
Top Bottom