njoo pmHaya buana,.cjui namm nitafute mume.. ?!
Pole mkuu kanyaga hata kwa mguu ufike.
biashara yangu ya juisi ya miwa sjui itakuwaje leo.[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]Ila hii mvua noma aisee. Asubuhi subuhi hivi inanyesha ya nini sasa? Inaharibu kabisa mipango ya watu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nimekutamani ghafla
biashara yangu ya juisi ya miwa sjui itakuwaje leo.[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
Nielekeze vzr bhana......[emoji18]njoo pm
wewe si hujatoka kwa bed, nielekeze mimi PM nije, teh!Nielekeze vzr bhana......[emoji18]
tuseme InshaalahLabda itakatika....
Inahitaji ujasiri kuyashindaSana aisee
Nipo hapa tayari mwaya!Haya buana,.cjui namm nitafute mume.. ?!
Waooooo.....[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Nipo hapa tayari mwaya!
Kuwa maradona tuHii hali ya mvua mvua inanifanya niwamiss Tausi, Mariamu, Prisca, Asha, Sania, na Ikupa.
Wanakokaa hata bajaji zimegoma kwenda kwa ajili ya ubovu wa barabara.
Sijui nifanyeje tu.
Wewe kavu nini? Na those guys from polar regions wote Wameoa?Jamani hii hali ya hewa mvua na kibaridi team single tunateseka sana. Wale wenye wake zao ndo wakati wa kututambia huu utasikia kwanini hauoi?
Akyanani baridi linalonipiga nimeamua kutafuta mke.