Team single tunateseka

Namkumbuka jamila wangu,tulizinguana march mwaka huu,mtoto alikua na hot papuch na full nyegez,saa hizi ningekua nakonga nyoyo tu.sasa napigwa na baridi na kunywa tangawizi tu.

Ha ha ha pole sana mkuu, tupasiane basi.
Nitumie namba yake PM
 
Jamani hii hali ya hewa mvua na kibaridi team single tunateseka sana. Wale wenye wake zao ndo wakati wa kututambia huu utasikia kwanini hauoi?

Akyanani baridi linalonipiga nimeamua kutafuta mke.
Dah.. Kiongozi yaani wewe ni jipu. Yaani kupigwa na baridi umeona utafute mke badala ya kununua kiyoyozi [emoji15]
 
Duu! Mkuu ushaanza ku-dill na Mumu tena!! We sumeshapata kiondoa balidi? Mumu tuachie sisi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…