Team yangu Man U ni mkosi, nuksi, laana, gundu, mapepo au majini?

Course Coordinator

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2019
Posts
1,742
Reaction score
3,224
Kama shabiki kindaki ndaki siridhishwi kabisa na matokeo ya mechi 2 za Man U zilizopita.

Team inaonekana kucheza ,wachezaji wanajituma kweli kweli lkn nahs kuna sehem katika upangaji team kocha anakosea sana.

Team ina dominate mpira lakini kufunga hakuna,Hakuna striker force, tunategemea winga Daniel James, viungo wanaenda mbele hawarudi kukaba.

Usajili wa mwaka huu umekosa striker anaesimama, sina mashaka na Bissaka, Daniel James na Maguire, ila wachezaji waliokutwa na akina Bissaka sioni wakijituma Rashford amekua nyoka wa kabisa, ana meno lakini hang'ati.

Club ubingwa Ulaya hatupo au tumeshajipanga kila mwaka kucheza Europa nani ameturoga?
 
Hii timu ni jangayani unauza striker bila mbadala sahihi hawa akina rashidi wana rukaruka tu.
 
Hapana ni usajili tu wa wachezaji wazuri na team work


Mimi si Manchester united
 
We hama tu mkuu hujalazimishwa hamia man city..[emoji3][emoji3] uhakika wa ushindi ni 100℅ Me timu yangu Chelsea lakn mmmmh. Nashindwa kuilaumu coz hata usajili imefungiwa.

Sasa sijui nyie mlikuwa mnafikiria nini kumuuza lukaku mtu mwenye uwezo wa kuscore goal 20+ mnamuacha mtu hata uwezo wa kufikisha goal 15 hana.
 
Mourinho ni kocha pekee mwenye mafanikio ambaye hajui mpira, Ila hutumia akili kupata ushindi, kushinda ni zaidi ya kukimbia kimbia na mpira uwanjani
 
Dah..kumbe matatzo ya Yanga yangu hata man u wanayo?
 
"jua maisha ni mlima eeh!! Maisha ni mlima
Kuna kupanda na kushuka eeh!! Kupanda na kushuka
Bali kuteleza sio kuanguka eeh!! Mtoto wa mama"

Nahisi Manchester haitelezi inaporomoka, toka milima ya uporoto.[emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…