Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
Kama shabiki kindaki ndaki siridhishwi kabisa na matokeo ya mechi 2 za Man U zilizopita.
Team inaonekana kucheza ,wachezaji wanajituma kweli kweli lkn nahs kuna sehem katika upangaji team kocha anakosea sana.
Team ina dominate mpira lakini kufunga hakuna,Hakuna striker force, tunategemea winga Daniel James, viungo wanaenda mbele hawarudi kukaba.
Usajili wa mwaka huu umekosa striker anaesimama, sina mashaka na Bissaka, Daniel James na Maguire, ila wachezaji waliokutwa na akina Bissaka sioni wakijituma Rashford amekua nyoka wa kabisa, ana meno lakini hang'ati.
Club ubingwa Ulaya hatupo au tumeshajipanga kila mwaka kucheza Europa nani ameturoga?