Teams qualified for the 2025 Club World Cup so far

Teams qualified for the 2025 Club World Cup so far

Mbona sasa team 32? Au kuna namna wataongeza timu nyingine
Ndio.
CAF

Africa itakuwa inawakilishwa na timu 4
Wa kwanza bingwa wa CAFCl 2020/2021 ambaye ni Al Ahly.
Wa pili, bingwa wa CAFCL 2021/2022 ambaye ni Wydad.
Wa tatu, bingwa wa CAFCL 2023/2024 ambaye hajulikani.
Wa nne atachukuliwa kwa kuzingatia rank ya CAF. Kama ikitokea bingwa wa CAFCL msimu huu akawa Al Ahly au Wydad basi timu mbili zitachukuliwa kwa kuzingatia rank.

Ulaya: UEFA Timu 12
Wa kwanza bingwa wa UEFACL 20/21 ni Chelsea.
Wa pili bingwa wa UEFACL 21/22 ni Real Madrid.
Wa tatu bingwa wa UEFACL 22/23 ni Man city.
Wa nne ni bingwa wa UEFACL 23/24 .........
Timu 8 zilizobakia zitachukuliwa kulingana na rank ambapo mpaka sasa timu 5 zimeshajihakikishia nafasi (Bayern, Psg, Benfica, Porto na Intermilan).

Asia: AFL timu 4
Amerika kaskazini: concacaf timu 4
Ocean: timu 1
Amerika kusini: CONMEBOL timu 6

N.B kwa utaratibu huu wa mashindano, ile michuano ya AFL( African football league) yaliyoanza msimu huu hayana maana yeyote, yanakuwa kama bonanza tu kwasababu bingwa baada ya kupata tuzo na pesa hakuna kingine tena cha ziada kwake. Bado CAF champions league inakuwa ndio mashindano pekee yenye nguvu na yanayompa tiketi bingwa kushiriki kombe la dunia ngazi ya vilabu.
 
OFFICIAL[emoji837]: Teams qualified for the 2025 Club World Cup so far:

UEFA:
[emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Chelsea
[emoji633]Real Madrid
[emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Man. City

ASIAFC:
[emoji1210]Al Hilal
[emoji627]Urawa Red Diamonds

CAF:
[emoji1093]Al Ahly
[emoji1173]Wydad Athletic Club

CONCACAF:
[emoji1166]C.F. Monterrey
[emoji631]Seattle Sounders
[emoji1166]Club León

CONMEBOL:
[emoji1054]Palmeiras
[emoji1054]Flamengo

Najiuliza hapa kwanini mabingwa wa Confederation Cup USMA au wale wa Europa hawachukuliwi katika ligi hii? ina maana anayeshika nafasi ya pili CAFCL ni bora kuliko bingwa wa CAFCC?
We jamaa inabidi utafutiwe ulinzi wa haraka sana, watakutafuta Wakupige ngoja waje.
 
Hapo africa bora hizo timu mbili nyingne ziende Mamelod au esperance de tunis. Ila haya mashindano tutashuhudia sana Vipigo vya kono la Nyani,

Na nimeskia Kila klabu iliyokidhi vigezo vya kushiriki Fifa Club world cup 2025 itapewa Dola million 50 ambayo ni zaidi ya Billion 100 za kitanzania,...hapo bado hela za Udhamini kwa vilabu kutoka makampuni mbalimbali,

Hii inatufundisha kuwa Soka linalipa sana ukiwekeza.... unaweza usione faida kwa wakati huo ila mbeleni kidogo Hela yako itarudi na faida maradufu, wawekezaj wa Timu za Tanzania waache ubahili waweke pesa ndefu kwenye vilabu.
 
We jamaa inabidi utafutiwe ulinzi wa haraka sana, watakutafuta Wakupige ngoja waje.
Sasa hilo swali si ilipaswa liulizwe na mtoto mdogo au yule asiyejua mpira? Kwanini hakuuliza kwanini bingwa African football league ambaye ni Mamelod hashiriki kwa tiketi ya AFL? Kila mashindano yana vigezo vyake ndio maana umeona wanachukua mabingwa wa mabara.
 
Hapo africa bora hizo timu mbili nyingne ziende Mamelod au esperance de tunis. Ila haya mashindano tutashuhudia sana Vipigo vya kono la Nyani,

Na nimeskia Kila klabu iliyokidhi vigezo vya kushiriki Fifa Club world cup 2025 itapewa Dola million 50 ambayo ni zaidi ya Billion 100 za kitanzania,...hapo bado hela za Udhamini kwa vilabu kutoka makampuni mbalimbali,

Hii inatufundisha kuwa Soka linalipa sana ukiwekeza.... unaweza usione faida kwa wakati huo ila mbeleni kidogo Hela yako itarudi na faida maradufu, wawekezaj wa Timu za Tanzania waache ubahili waweke pesa ndefu kwenye vilabu.
Billion 100? em kua serious basi
 
Back
Top Bottom