Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Ndio.Mbona sasa team 32? Au kuna namna wataongeza timu nyingine
CAF
Africa itakuwa inawakilishwa na timu 4
Wa kwanza bingwa wa CAFCl 2020/2021 ambaye ni Al Ahly.
Wa pili, bingwa wa CAFCL 2021/2022 ambaye ni Wydad.
Wa tatu, bingwa wa CAFCL 2023/2024 ambaye hajulikani.
Wa nne atachukuliwa kwa kuzingatia rank ya CAF. Kama ikitokea bingwa wa CAFCL msimu huu akawa Al Ahly au Wydad basi timu mbili zitachukuliwa kwa kuzingatia rank.
Ulaya: UEFA Timu 12
Wa kwanza bingwa wa UEFACL 20/21 ni Chelsea.
Wa pili bingwa wa UEFACL 21/22 ni Real Madrid.
Wa tatu bingwa wa UEFACL 22/23 ni Man city.
Wa nne ni bingwa wa UEFACL 23/24 .........
Timu 8 zilizobakia zitachukuliwa kulingana na rank ambapo mpaka sasa timu 5 zimeshajihakikishia nafasi (Bayern, Psg, Benfica, Porto na Intermilan).
Asia: AFL timu 4
Amerika kaskazini: concacaf timu 4
Ocean: timu 1
Amerika kusini: CONMEBOL timu 6
N.B kwa utaratibu huu wa mashindano, ile michuano ya AFL( African football league) yaliyoanza msimu huu hayana maana yeyote, yanakuwa kama bonanza tu kwasababu bingwa baada ya kupata tuzo na pesa hakuna kingine tena cha ziada kwake. Bado CAF champions league inakuwa ndio mashindano pekee yenye nguvu na yanayompa tiketi bingwa kushiriki kombe la dunia ngazi ya vilabu.