TEC yalaani Shambulizi Dhidi ya Padre Charles Kitima, yataka uchunguzi wa haraka na uwazi pasipo na upotoshaji

Msifikiri mtalitumia Kanisa Katoliki Tanzania kwa maslahi yenu. Huo ni ujinga na kujilisha upepo. Hata Askofu wa Katoliki anaweza akafa kwa kushambuliwa na nchi ikabaki salama zaidi ya kabla hajafa huyo Askofu. Usiichezee Mama Tanzania!!!
Mama Tanzania wa kutesa watu wasio na makosa huyo siyo mama Tanzania bali ni mama CCM.
 
Huyu Askofu Nzigilwa kibaka na mwizi alipewa pesa za ufisadi za Escrow yeye na Kilaini zikaingizwa akaunti zao binafsi walipobanwa na Takukuru kuwa wataburuzwa mahakamani kwa uhujumu uchumi wakatema hizo pesa kuwa ohh hizo pesa zilikuwa sadaka za kanisa Toka lini sadaka ya kanisa katoliki inaingizwa kwenye akaunti binafsi ya padri? Sio ya kanisa?

Na kanisa katoliki wakakauka utafikiri hiyo miaskofu yao haikuwa mafisadi mipiga deal

Katoliki wanafuga wahalifu akiwemo huyu Askofu Nzigilwa Sadaka hata siku moja haiingii akaunti binafsi ya padre

Leo ndio huyo anatoa tamko kama mtakatifu askofu Nzigilwa

Kibaka mkubwa

Ushahidi huu hapa Mwizi mkubwa huyo

 
Msifikiri mtalitumia Kanisa Katoliki Tanzania kwa maslahi yenu. Huo ni ujinga na kujilisha upepo. Hata Askofu wa Katoliki anaweza akafa kwa kushambuliwa na nchi ikabaki salama zaidi ya kabla hajafa huyo Askofu. Usiichezee Mama Tanzania!!!
Rudi shule nani amekuambia uhangaike na mengine zaidi ya masomo.Elimu ni ufunguo wa maisha soma kijana.
 
Tamko limetolewa na Makamu wa Rais, Baba Askofu Eusibius Nzigilwa. Get well soon Fr.Kitima View attachment 3322035
kasema: waaumini wote muwe na subira na uvumilivu mkisubiri uchunguzi wa aserikali mpaka ukamilike, pia muombee Amani ya taifa letu.........hamna jipywa ni wale wale kama Bakwata mabadiliko ya nchi hayaji kwa maombi Lissu kawambie kitambo.
 
Bora uombe mpako maana ni mgonjwa wa akili
Na Paroko wangu ananikubali kweli. Hivyo kabla sijafa LAZIMA niupate Mpako Mtakatifu wa Wagongwa. Vipi wewe. Hautapata kwasababu hutoi zaka bali unatoa kwenye Tone Tone? Ahahahahaha!!
 
Rudi shule nani amekuambia uhangaike na mengine zaidi ya masomo.Elimu ni ufunguo wa maisha soma kijana.
Fr. Kitima ni Mwalimu wangu SAUT 2006/2009. Nilikuwa course moja na John Heche! Ahahahahaha! Pia nimesema humu kuwa nina miaka 51.
 
Msifikiri mtalitumia Kanisa Katoliki Tanzania kwa maslahi yenu. Huo ni ujinga na kujilisha upepo. Hata Askofu wa Katoliki anaweza akafa kwa kushambuliwa na nchi ikabaki salama zaidi ya kabla hajafa huyo Askofu. Usiichezee Mama Tanzania!!!
Hata Mama anaweza kufa kwa kushambuliwa na nchi ikawa salama zaidi ya kabla hajafa huyo mama
 
Msifikiri mtalitumia Kanisa Katoliki Tanzania kwa maslahi yenu. Huo ni ujinga na kujilisha upepo. Hata Askofu wa Katoliki anaweza akafa kwa kushambuliwa na nchi ikabaki salama zaidi ya kabla hajafa huyo Askofu. Usiichezee Mama Tanzania!!!
Naona mama yako wa kipemba kiti amekiona kitamu anabamiza kila anayetaka kukatiza mbele yake.
 
Na Paroko wangu ananikubali kweli. Hivyo kabla sijafa LAZIMA niupate Mpako Mtakatifu wa Wagongwa. Vipi wewe. Hautapata kwasababu hutoi zaka bali unatoa kwenye Tone Tone? Ahahahahaha!!
Zaka ni ya agano la kale
 
Msifikiri mtalitumia Kanisa Katoliki Tanzania kwa maslahi yenu. Huo ni ujinga na kujilisha upepo. Hata Askofu wa Katoliki anaweza akafa kwa kushambuliwa na nchi ikabaki salama zaidi ya kabla hajafa huyo Askofu. Usiichezee Mama Tanzania!!!
Sipati picha angeshambuliwa shehe hali ingekuwaje kwa wana mihemko.
 
Kuna watu walisimamisha gari lenye abiria zaidi ya 40 wakamchukua Ally Kibao hadharani wakamuua na kumtupa mjini hawakuguswa sasa hii ya Kitima cha mtoto tuu.
 
Hata Askofu wa Katoliki anaweza akafa kwa kushambuliwa na nchi ikabaki salama zaidi ya kabla hajafa huyo Askofu. Usiichezee Mama Tanzania!!!
Hii kauli umeitoa bila uangalifu Kama kauli zilizo mponza Nape Moses Nauye.
Siasa huziwezi utaiharibia na kuichafua serikali.
Very dangerous statement in a dangerous time, very careless.
 
Kwa hiyo umeamua kutumia miaka 15 uliyobakiza kudhulumu binadamu wenzio!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…