TEC yalaani Shambulizi Dhidi ya Padre Charles Kitima, yataka uchunguzi wa haraka na uwazi pasipo na upotoshaji

TEC yalaani Shambulizi Dhidi ya Padre Charles Kitima, yataka uchunguzi wa haraka na uwazi pasipo na upotoshaji

Sipati picha angeshambuliwa shehe hali ingekuwaje kwa wana mihemko.
Wangelihemka tu na Mama Tanzania ingelibaki salama. Kwani si juzi tu umesikia Mahakama Kuu imewahukumu Masheikh wawili na bado nchi ipo salama?
Hiyo ndio Tanzania ninayoijua na kuipenda!🙏🙏🙏🙏
 
Hii kauli umeitoa bila uangalifu Kama kauli zilizo mponza Nape Moses Nauye.
Siasa huziwezi utaiharibia na kuichafua serikali.
Very dangerous statement in a dangerous time, very careless.
Bado nasimama na msimamo wangu.
 
Sijui niseme mara ngapi ndipo uelewe kuwa kweli unayo akili mbovu sana. Kwa nini unapenda sahri sana hivi. Naona hata waTanzania wote wakifa na kukuacha wewe peke yako ukiishi humu, bado utakuwa unajiumiza hivi hivi unavyofanya sasa!
Nikibaki Tanzania peke yangu naenda Ethiopia kuoa binti mrembo sana ili tuje tuijaze tena nchi yetu Mama Tanzania. Ng'ombe naenda kuchukua za Bubale! Unazijua? Ahahahahaha!!
 
Msifikiri mtalitumia Kanisa Katoliki Tanzania kwa maslahi yenu. Huo ni ujinga na kujilisha upepo. Hata Askofu wa Katoliki anaweza akafa kwa kushambuliwa na nchi ikabaki salama zaidi ya kabla hajafa huyo Askofu. Usiichezee Mama Tanzania!!!
Tanzania ni watu (watanzania) kwa ujumla wao, dini tofauti, makabila tofauti na itikadi tofauti.
Tulindane wote na kwa umoja wetu tunaunda taifa.
Hakuna sababu ya kushambuliana kwa maelezo ya kijinga ya nchi kubaki salama. Hakuna chombo chochote cha usalama kilichothibitisha kwamba ameshambuliwa kwa sababu za kuhatarisha usalama.
Kuna haja ya vyama na serikali kuwakemea wajinga wanaojipendekeza na kuitetea kwa hoja za kipuuzi.
 
Nafikiri Watu kama wewe ndiye hasa wanapaswa kushughulikiwa katika nchi hii.
 
Ni kwamba TEC tayari wana majibu maana CCTV Camera zimeanika Wauaji, ndio maana wamewatega Polisi
 
Tanzania ni watu (watanzania) kwa ujumla wao, dini tofauti, makabila tofauti na itikadi tofauti.
Tulindane wote na kwa umoja wetu tunaunda taifa.
Hakuna sababu ya kushambuliana kwa maelezo ya kijinga ya nchi kubaki salama. Hakuna chombo chochote cha usalama kilichothibitisha kwamba ameshambuliwa kwa sababu za kuhatarisha usalama.
Kuna haja ya vyama na serikali kuwakemea wajinga wanaojipendekeza na kuitetea kwa hoja za kipuuzi.
Kuna watu humu wanaamini Kanisa Katoliki ndio kila kitu nchi hii. Nami nipo hapa kuwaelewesha bila kujali Kuna mtu anaumia ama la.
 
Back
Top Bottom