Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Be my guest!Nafikiri Watu kama wewe ndiye hasa wanapaswa kushughulikiwa katika nchi hii.
Be my guest!Nafikiri Watu kama wewe ndiye hasa wanapaswa kushughulikiwa katika nchi hii.
Hata ulicho elezwa naona bado hukielewi, unajipigia tu kivyako! Halafu unadai wewe ni mhitimu wa SAUT?Nikibaki Tanzania peke yangu naenda Ethiopia kuoa binti mrembo sana ili tuje tuijaze tena nchi yetu Mama Tanzania. Ng'ombe naenda kuchukua za Bubale! Unazijua? Ahahahahaha!!
Kama wewe hukusoma kwa kiwango hicho sio kosa langu.Hata ulicho elezwa naona bado hukielewi, unajipigia tu kivyako! Halafu unadai wewe ni mhitimu wa SAUT?
Dah!Kama wewe hukusoma kwa kiwango hicho sio kosa langu.
Karibu tunywe Konyagi ya wikiendi hapa Diamond Kona ya Bwiru.Dah!
basi bwanah!
Kwa mara ya kwanza umetoa jibu linaloeleweka vizuri.
Naomba tu nimalizane na wewe mkuu 'Mtoto'
Ninaamini kabisa wewe na mimi tukikutana mahali kama waTanzania wawili tukiwa katika hali hatarishi na watu wasiokuwa waTanzania, hutaniacha na wala mimi sitakuacha udhurike peke yako.
Sasa basi, katika kutoelewana kwetu humu ndani ya nchi yetu wenyewe, kwa nini tufarakane na kugawanyika namna hii tuliyo nayo sasa?
Kwani jambo la HAKI ya mTanzania kumchagua kiongozi anayemtaka, hili lina tatizo gani?
Mimi nasema hivi: kama waTanzania watapewa fursa ya kuwa na uchaguzi ulio huru na wa HAKI, na wamchague Samia, kwa nini nisikubaliane na uamzi wa hawa watu?
Ni nani anajuwa Samia hatachaguliwa endapo marekebisho ya taratibu za uchaguzi zikifanyika ili kuufanya uwe wa haki?
Naomba mwisho hapa, tukubaliane, kwamba maslahi ya nchi yetu ndiyo yabaki kuwa ya muhimu kuliko jambo jingine lolote.
Nimemalizana na wewe, mkuu 'Mtoto wa shule'. Ukiniona ninajibishana nawe tena, unisamehe tu.
nilisema sitaendelea zaidi nawe, lakini inashangaza kidogo kwa sababu inawezekana kabisa tunakutana kila siku au hata mara moja kwa wiki maeneo hayo.Karibu tunywe Konyagi ya wikiendi hapa Diamond Kona ya Bwiru.
Ahahahahaha!!!nilisema sitaendelea zaidi nawe, lakini inashangaza kidogo kwa sababu inawezekana kabisa tunakutana kila siku au hata mara moja kwa wiki maeneo hayo.
Naomba yote hayo tuyaache. Nakusikitikia tu na kinachokupa msukumo wa mawazo uliyonayo; hata kama ni ya kuigiza tu humu. Actually, mtu huwezi kuigiza mambo usiyokuwa na mshikamano nayo. Hii ndiyo hulka yako ya siku zote.
Ina maana ktk makao makuu ya baraza hakuna kampuni ya ulinzi? Huyo Kitima amechunguzwa vizuri au wamembandika bandeji km kwenye movie? Hiyo ni movie imetengenezwa kuleta taharuki na kujaribu uchochezi. Serikali iwe makini sana na hayo maigizo, TEC ni chadema, wanatafuta kila mbinu kuharibu nchi. Ktk mafunzo yangu jeshini ktk ulinzi wa nchi hatuangalii sura ht km ni babako au mamako mzazi achilia mbali kiongozi wa dini yako. Naamini mpk leo misingi ya jeshi haijabadilikaBaraza la Maaskofu Tanzania Limetoa wito kwa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania na vyombo vingine vya usalama kuchukua hatua za haraka za kuwabaini na kuwakamata wale wote husika na kuwakamata kwa ajili ya kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria
Aidha Baraza limeesa jeshi la polisi kufanya uchunguzi na kutoan taarifa kwa uwazi ili kurahisha mchkato wa kupatikana kwa haki
View attachment 3322000
TAARIFA KWA UMΜΑ
KUVAMIWA NA KUUMIZWA KWA KATIBU MKUU WA BARAZA LA MAASKOFU (TEC) - PADRE CHARLES KITΙΜΑ
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limesikitishwa sana na linalaani tukio baya la uovu la kuvamiwa, na kujeruhiwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Padre Charles Kitima, lililotokea tarehe 30 Aprili 2025 majira ya saa 4 usiku katika makazi na Makao Makuu ya Baraza la Maaskofu, Kurasini Dar es Salaam. Padre Kitima alipata majeraha makubwa na amelazwa katika hospitali ya Aga Khan, jijini Dar es salaam. Tunawashukuru wote waliomsaidia na kumfikisha Padre Kitima hospitalini mapema na kwa madaktari na wauguzi wanaomhudumia mpaka sasa.
Wito wetu kwa vyombo vinavyohusika:
Tunatoa wito kwa Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya usalama kuchukua hatua za haraka za kuwabaini na kuwakamata wale wote waliohusika katika kupanga na kutekeleza uhalifu huu wa kinyama na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria.
Aidha, uchunguzi wa tukio hili ufanyike kwa haraka na taarifa zilitolewe kwa uwazi na bila upotoshwaji wowote ili kurudisha imani na matumaini kwa watu wetu.
Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya
Tunashukuru mpaka sasa kwa ushirikiano mzuri tunaoupata kutoka Serikalini na kwa vyombo vyetu vya usalama. Pia tunawashukuru watu binafsi, taasisi za ndani na za kimataifa zinazoendelea kulaani na kutupa pole kwa tukio hili baya na la aibu kwa Taifa letu. Tunaomba Waamini na watu wenye mapenzi mema muendelee kumuombea neema ya uponyaji Padre Kitima, na pia kuliombea Taifa letu amani na umoja. Aidha, tunawaomba muwe na subira na uvumilivu wakati tukisubiri matokeo ya uchunguzi wa vyombo vinavyohusika.
Katika Kristo Mfufuka,
Askofu Eusebius Nzigilwa Makamu wa Rais - Baraza la Maaskofu Tanzania
1 Mei 2025
Kwa hiyo sisi wakatoliki ambao sio Chadema unatuweka wapi? Hii nchi inakiwango cha ujinga uliopitiliza labda nikukumbushe wageni wengi wa pale TEC ni viongozi wa serikali.unataka kusema wewe unaijua TEC kuliko Mpango,Dr.Nchimbi,Bashubgwa au mkuu wa Majeshi? Unajua kuwa hakuna Padre hata mmoja mwenye kadi ya chama cha siasa sasa TEC iwe chadema inufaike na nini?Unataka TEC kila jambo la serikali iseme ndio huku ikujua sio?Kama TEC ni chadema kwa nini miradi mingi inashirikiana na serikali ambayo ni chama cha Mapinduzi.Hivi kwa mkoa kama wa Njombe ukaja ukasema Askofu Kyando ni Chadema mbona utaonekana punguani kabisa.Acha TEC ibaki kuwa taasisi huru maana lakini msisahau mchango wa RC kwenye hili taifa.Taifa limenufaiki na RC bila kujali dini au itikadi.Watalaamu wengi nchi ni zao la TEC hakuna kiongozi asiyejua.Sadaka zetu zinawafaishi watoto wa Tanzania kuliko pengine hata sisi wenyewe halafu kwa upotoshi unasema TEC ni ChademaIna maana ktk makao makuu ya baraza hakuna kampuni ya ulinzi? Huyo Kitima amechunguzwa vizuri au wamembandika bandeji km kwenye movie? Hiyo ni movie imetengenezwa kuleta taharuki na kujaribu uchochezi. Serikali iwe makini sana na hayo maigizo, TEC ni chadema, wanatafuta kila mbinu kuharibu nchi. Ktk mafunzo yangu jeshini ktk ulinzi wa nchi hatuangalii sura ht km ni babako au mamako mzazi achilia mbali kiongozi wa dini yako. Naamini mpk leo misingi ya jeshi haijabadilika
Msifikiri mtalitumia Kanisa Katoliki Tanzania kwa maslahi yenu. Huo ni ujinga na kujilisha upepo. Hata Askofu wa Katoliki anaweza akafa kwa kushambuliwa na nchi ikabaki salama zaidi ya kabla hajafa huyo Askofu. Usiichezee Mama Tanzania
Just kill at your maximum pleasure possible!!! In fact huenda juice ya damu ya binadamu ni bora ndio maana the killings are endlessMsifikiri mtalitumia Kanisa Katoliki Tanzania kwa maslahi yenu. Huo ni ujinga na kujilisha upepo. Hata Askofu wa Katoliki anaweza akafa kwa kushambuliwa na nchi ikabaki salama zaidi ya kabla hajafa huyo Askofu. Usiichezee Mama Tanzania!!!