TECH: Kuna mtu niliwahi kumtumia picha ya ku-view once cha ajabu akanifowardia hiyo picha

TECH: Kuna mtu niliwahi kumtumia picha ya ku-view once cha ajabu akanifowardia hiyo picha

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
2,597
Reaction score
3,965
Kama kuumbuka nilishaumbuka tena si mara moja mara mbili watu tofauti huyu wa pili alisema yeye anatumia simu ya samsung.

Wa kwanza hakuweza hata kuniambia anatumia simu gani.

Kuna jamaa angu anatumia samsung nilimtumia picha ya view once yy hakuweza kuis screenshot wala kuihifadhi! hapo nikajua bado kuna cha kujifunza!

SWALI NI JE UNAWEZAJE KUIBYPASS HII TECHNOLOGIA YA VIEW ONCE??

Wababe wa medan za technologia za simu
 
Back
Top Bottom