TECH: Kuna mtu niliwahi kumtumia picha ya ku-view once cha ajabu akanifowardia hiyo picha

TECH: Kuna mtu niliwahi kumtumia picha ya ku-view once cha ajabu akanifowardia hiyo picha

Gb whtasp, fmwhtsp, yoehatsp zote hizi unaweza kuset Ile view once ikawa inactive.. Na hata Ile delete for all ikawa inactive pia. Mtu Ana delete fir all but wew unabak nazo... But pia inauwezo wa kudwnload status za watu.

Sijui kwa nn official what's hawana hizi features
 
Mzebaba huyajui haya magb whatsapp, fm whatsapp, yoo whatsapp yapo mengi mengi.
Walijaribu kuzifungia namba zinazotumia whatsapp za aina hiyo ila nyingi bado zipo zinadunda tu.

Hao wapuuzi wanaweza kuview status bila kuonekana wameview, au kutoview wakaonekana wameview.

Hizo text unazofuta kwa wote wao wanaziona, hizo view once wao wanaview forever.
 
Ni zile clones za whatssap kama gbwhatssap , Fmwhatssap
 
Kwenye simu za Xiaomi kuna feature inaitwa taplus, inakuwezesha kusave picture kutokea sehemu yoyote. Angalia hiyo screen record hapa
 

Attachments

  • Screenrecorder-2024-06-13-10-27-09-260.mp4
    6.9 MB
Back
Top Bottom