Wale jamaa hapa Tz wakiamua watulie, siioni Simba ikijipapatua. Kumbuka kule kwao walicheza under pressure kwamba lazima wapate ushindi mnono. Ile timu ikicheza bila presha, itulie upande wa ukabaji, viungo na ushambuliaji, Simba anafungwa hapa hapa Tz. Na hiko ndicho naenda kukiona, jamaa watakuja kutafuta goli kwanza kabla ya kitu kingine. Probably goli linaweza likawa ni Counter attack.Ukweli ulio wazi Berkane "quality" yao ipo juu kuliko Simba. Lakini hiyo bado haifanyi kuwa Simba hawezi kubeba ubingwa. Mimi kwa upande wangu kuna mambo ambayo nayaona wazi iwapo Simba itaamua kuyafanya basi sio ajabu wao kushinda na kubeba kombe.
1. Hizi mechi sio za maonyesho kwa hiyo waache upuuzi wao wa kujifanya Barcelona na kutaka kila mpira lazima waanzie nyuma au warudishe nyuma na hasa wanapokutana na timu inayokabia juu na yenye kasi kama Berkane badala yake wacheze "direct football" . Nilitoa angalizo hili hapa JF kabla ya mechi ya kwanza na kweli lilitokea na kusababisha goli la pili. Na kwa kasi ile ya Berkane wakirudia tena upuuzi wao wa kuanza mpira nyuma wataadhibiwa kwani beki za Simba wakipigwa presha ile ya unatoa hutoi hawawezi kuhimili. Kikubwa mpira unatakiwa kwa muda mwingi uchezewe katikati na kwenye goli la Berkane na si vinginevyo na mabeki wajulishwe kuwa kubutua sio kosa kwenye mchezo wa mpira wa miguu.
2. Fowadi fowadi fowadi inahitjika kuwa na utulivu sana. Hili ni tatizo kubwa sana pale Simba. Kwenye mechi kama hizi nafasi chache sana zinapatikana kuliko kwenye ligi yetu na ni lazima zitumike kwa usahihi. Napata sana shida kuielewa fowadi ya Simba kwanini hawakupata hata goli moja ugenini wakati walipata nafasi zaidi ya moja ya wazi. Na kama ile aliyopata Ateba kutoka kwenye krosi ya Kapombe badala apige kichwa cha kuchumpa yeye anataka afunge kwa miguu. Na mbaya zaidi alipoupata ule mpira Ahoua badala ampe Kibu aliyekuwa kwenye nafasi nzuri yeye anataka afunge mwenyewe kwa ubinafsi wake.
3. Mipira iliyokufa/kona. Hili ni jipu lingine pale Simba. Timu inatafuta goli wachezaji wamejipanga kwenye goli la timu pinzania halafu eti mchezaji anaanza pasi fupi akipigwa presha anarudishwa mpira nyuma mpaka unafika kwa Camara. Na Camara mwenyewe naye akirudishiwa akipigwa presha na yeye anabutua mbele sasa hiyo ni akili au matope maana unaua shambulizi ambalo linaweza kukupatia goli halafu unarudisha mpira nyuma ukabutuliwe na kipa. Na kumbuka kuwa huo mpira unaobutuliwa na Camara unakuwa hauna macho na hata wale mabeki waliongezeka kwenye goli la timu pinzani wanakuwa wameshaondoka kurudi kuzuia.
4. Kuna wakati timu pinzani inaamua kubaki nyuma ili wazuie tu. Utaona benchi la ufundi linaamua kupunguza beki au kiungo na kuongeza washambuliaji kule mbele kitu ambacho ni sahihi kabisa kiufundi. Lakini cha kuchekesha ni kuwa badala Simba sasa kupeleka mipira kwa wingi na kwa haraka kwa washambuliaji ili kulazimisha makosa kwa mabeki wa timu pinzani na hasa ukizingatia timu imeshakuwa na namba kubwa ya washambuliaji lakini bado utashangaa Simba wanaanza "back pass" zao mpira unaanza kwa kipa unaguswa na mabeki wote wale nyuma hata mara mbili mbili wakati fowadi inasubiri na dakika zinazidi kuyoyoma. Kwa hili sijiwahi kulielewa benchi la ufundi la Simba. Na benchi la ufundi kama linaamua kuingiza mshambuliaji wa ziada halafu mipira haifiki mbele kwa haraka basi inakuwa haina maana yoyote.
5. Mwisho na la muhimu sana ni kuwa kwa sababu "quality" ya Berkane ipo juu na kasi yao ipo juu japo hupungua kadri mchezo unavyoenda basi lil Simba waweze kuwadhibiti hao jamaa ni kucheza kwa "jihad" tu mwanzo mwisho. "Jihad" ya kujitoa nguvu, jasho na damu ndio itawapa Simba ubingwa si vinginevyo kwani kiufundi jamaa wapo vizuri sana. Na kubwa zaidi litakalowasaidia ni kulazimisha lazima magoli yatokee kwa njia yoyote ile na hili linawezekana tu iwapo wachezaji wenye kwa wenyewe watahamasishana.
Ni mtizamo tu.
Bila kukupesa macho, ofkoz quality ya jamaa iko vyema. Nawaona wakipata goli hapa Tz.Quality.
Quality.
Quality.
Jamaa unapiga spana ile mbaya.Hata walevi nao wana bingwa wao๐
Jamaa kaongea pumba tupu japo atajiona kaongea la maana.Bange / Bangi ni mbaya sana kwakweli.
Ukianza kusoma ni pwagu mwishoni pwaguzi.Kwa viongozi weledi na wanaojua mpira hawakupaswa kushindana na CAF... Kuna tatizo kubwa ndanj ya uongozi wa simba ni aidha kalia aliwadanganya au MO.... Haiwezekani watu wawe busy kudai mahali pakuchezea bila kufanya maandalizi dhabiti juu ya mchezo husika...., wamezoea mpira wa kiswahili huu wa Karia!!.
Trust me kama hii mechi msimamizi mkuu angekuwa bodi ya ligi au tff basi simba wangegomea mechi๐๐, CAF ina timu ya wataalam wa viwanja wamewaambiwa uwanja hauwezi kutumika afu anatokea magori na propaganda zake za kipumbavu eti ataenda Fifa๐๐ dah...!!.
Timu ipo hoi na hili la kutocheza kwa mkapa ndio limewamaliza kisaikolojia coz waliaminishwa na waganga wao kila kitu kimeishia pale....!!. Mbungi inapigwa kizimkazi njoo na mafuta yenu ya upako muone ๐๐๐ถ
mbona unaandika huku unachekacheka kama umekalia kipisi cha nyama kilichochongoka?Kwa viongozi weledi na wanaojua mpira hawakupaswa kushindana na CAF... Kuna tatizo kubwa ndanj ya uongozi wa simba ni aidha kalia aliwadanganya au MO.... Haiwezekani watu wawe busy kudai mahali pakuchezea bila kufanya maandalizi dhabiti juu ya mchezo husika...., wamezoea mpira wa kiswahili huu wa Karia!!.
Trust me kama hii mechi msimamizi mkuu angekuwa bodi ya ligi au tff basi simba wangegomea mechi๐๐, CAF ina timu ya wataalam wa viwanja wamewaambiwa uwanja hauwezi kutumika afu anatokea magori na propaganda zake za kipumbavu eti ataenda Fifa๐๐ dah...!!.
Timu ipo hoi na hili la kutocheza kwa mkapa ndio limewamaliza kisaikolojia coz waliaminishwa na waganga wao kila kitu kimeishia pale....!!. Mbungi inapigwa kizimkazi njoo na mafuta yenu ya upako muone ๐๐๐ถ
Wangeweza kusema mechi ya pili ichezwe morocco pia au nchi nyingine, Maana haya mashindano wao ndio waendeshajiKwani wangesema kuna sherehe za kitaifa ungechezwa wapi? Aliyerithi cheo ametaka kwa makusudi kupeleka mechi kwao kama lile tamasha
Kama mama yako anakaliaga nyama yangu kwanini nisifurahie!!.mbona unaandika huku unachekacheka kama umekalia kipisi cha nyama kilichochongoka?
Mechi hata ichezwe sebuleni kwenu huyo mwarabu mnayemshabikia lazima akae
Huu ni uthubutu mkubwaSimba bingwa hata kama mechi ya marudiano itafanyika Morocco
Mpira ni mchezo wa makosa hata liwe la bahati mbaya.Goli la pili
(Kagoma) alianguka Kwa bahati mbaya wakati alikua tayari ana mpira na ndipo mchezaji wa Berkane akaunasa na kupelekea kufunga,ukweli kama sio Kagoma kuanguka ulie mpira ungeokolewa na kupelekwa upande wa Berkane.
Kwani kuna sheria ya kufunga magoli mkuu!?katika mchezo wa Morocco RS Berkane hawakuweza kupata magoli zaidi ya mawili kwao
Kumbuka simba hakupata shot on target...Kwa kipindi chote kilichobaki Cha dk 73 RS Berkane walidhibitiwa na Simba na hawakupata goli lolote,hii inaonesha Simba waliweza kuwadhibiti, tofauti na watu wengi waliodhani kuwa,Simba atafungwa nyingi.
Mazoea ya yanayofanyika katika soka la hongo.Kwa viongozi weledi na wanaojua mpira hawakupaswa kushindana na CAF... Kuna tatizo kubwa ndanj ya uongozi wa simba ni aidha kalia aliwadanganya au MO....
Kocho maziwaKama mama yako anakaliaga nyama yangu kwanini nisifurahie!!.