Tecno Camon 18 kuja na Gimbal Kamera

Tecno Camon 18 kuja na Gimbal Kamera

Nyie vipi ? Sasa Tetesi zinatolewa na akaunti rasmi ? Tetesi zinatakiwa zitoke uchochoroni huko.
Mimi nina Tecno ipo android 6.0 ni lini nitapata android 12 au ndio basi tena ?🐒
Android 12 inakuja kwa simu za Phantom X na Camon 17, Camon 18
 
Eti " japo simu hiyo haijatambulishwa rasmi lakini tayari kuna tetesi huenda simu hiyo ni TECNO Camon 18. "[emoji1][emoji1]
Hawa watu ni wajinga asee, simu inatangazwa hadi kwenye vituo vya tv afu wao wanasema eti ni tetesi haijatambulishwa bado
Ajabu imetolewa kwa account rasmi
 
Nyie watu hivi hakuna uwezekano wa kubadilisha hii tekno spark3 yangu kwa spark 8 maana nina shida na simu yenye otg kwa kuongezea pesa ama hiyo huduma ilisitishwa
 
Nyie watu hivi hakuna uwezekano wa kubadilisha hii tekno spark3 yangu kwa spark 8 maana nina shida na simu yenye otg kwa kuongezea pesa ama hiyo huduma ilisitishwa
Hio shida huwezi tumia alternative ya wireless technology?
 
Back
Top Bottom