Tecno imeleta simu mpya yenye nguvu ya ajabu, Tecno SPARK 50S 5G

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
FB_IMG_1792265306898.jpg

Kampuni ya TECNO imezindua simu mpya ya TECNO SPARK 50S 5G nzuri kwa wanaohitaji betri kubwa, intaneti ya 5G na utendaji mzuri kwa matumizi ya kila siku.

TECNO SPARK 50S 5G imekuja na sifa zinazovutia! 🤯

5_20261017_230508_0004.png
6_20261017_230508_0005.png

🔋 Betri ya 6,500mAh kwa matumizi ya muda mrefu
⚡ Chaji ya 45W kwa kuchaji kwa waya
📱 Skrini ya 120Hz kwa mwonekano laini
🚀 Dimensity 6400 yenye uwezo wa 5G
📸 Kamera ya 50MP kwa picha zako
🤖 Android 16 yenye HiOS 16

11_20261017_230508_0010.png
SaveClip.App_845880741_18030918455879823_3378502948698250468_n.jpg

🔥 Simu hii inalenga wale wanaotaka betri kubwa, kasi ya 5G na matumizi ya kila siku bila usumbufu mkubwa.
Unasemaje kuhusu simu hii tuachie maoni yako ?
Sogeza picha kuona zaidi 👋 .
 
View attachment 3692811

Kampuni ya TECNO imezindua simu mpya ya TECNO SPARK 50S 5G nzuri kwa wanaohitaji betri kubwa, intaneti ya 5G na utendaji mzuri kwa matumizi ya kila siku.

TECNO SPARK 50S 5G imekuja na sifa zinazovutia! 🤯

View attachment 3692813View attachment 3692814

🔋 Betri ya 6,500mAh kwa matumizi ya muda mrefu
⚡ Chaji ya 45W kwa kuchaji kwa waya
📱 Skrini ya 120Hz kwa mwonekano laini
🚀 Dimensity 6400 yenye uwezo wa 5G
📸 Kamera ya 50MP kwa picha zako
🤖 Android 16 yenye HiOS 16

View attachment 3692817View attachment 3692819

Bei yake?
 
TECNO Tanzania ndiye member pekee anayeweza kuongelea simu za Tecno na tukamuelewa.
 
Mkuu kuna hii tecno pova curve 2 ina betri ya 8000mAh, nataka kuchukua iwe simu ya backup maana kuna sehemu naenda kikazi na umeme unaweza ukawa changamoto huko. Hizo 8000mAh ni za kweli simu zinakaa na chaji muda mrefu au ni promo tu?
 
Kama kipato kina kuruhusu chukua hii, nilishatumiaga tecno pove 7 utra ilikuwa na 6000mAh sikujuta mpaka nilipoamua kumuachia mdogo wangu. Kwakweli Tecno kwa matoleo ya pova wanajitahidi sana.
 
View attachment 3692811

Kampuni ya TECNO imezindua simu mpya ya TECNO SPARK 50S 5G nzuri kwa wanaohitaji betri kubwa, intaneti ya 5G na utendaji mzuri kwa matumizi ya kila siku.

TECNO SPARK 50S 5G imekuja na sifa zinazovutia! 🤯

View attachment 3692813View attachment 3692814

🔋 Betri ya 6,500mAh kwa matumizi ya muda mrefu
⚡ Chaji ya 45W kwa kuchaji kwa waya
📱 Skrini ya 120Hz kwa mwonekano laini
🚀 Dimensity 6400 yenye uwezo wa 5G
📸 Kamera ya 50MP kwa picha zako
🤖 Android 16 yenye HiOS 16

View attachment 3692817View attachment 3692819

🔥 Simu hii inalenga wale wanaotaka betri kubwa, kasi ya 5G na matumizi ya kila siku bila usumbufu mkubwa.
Unasemaje kuhusu simu hii tuachie maoni yako ?
Sogeza picha kuona zaidi 👋 .
Duh wamefika Spark 50! Ni muda mwafaka sasa niibadili hii Spark 3 yangu.
 
Kama kipato kina kuruhusu chukua hii, nilishatumiaga tecno pove 7 utra ilikuwa na 6000mAh sikujuta mpaka nilipoamua kumuachia mdogo wangu. Kwakweli Tecno kwa matoleo ya pova wanajitahidi sana.
Nina Iphone 15 pro max, so nataka tu simu ya backup, hiyo Pova 7 si itakuwa gharama kubwa kidogo? Nimeona hiyo Pova 2 ni around 300,000 tu na ina 8000MAH.
 
Back
Top Bottom