BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 9,121
- 20,814
Hata mimi hapa wameniacha hoiFlagship kwa chip ya Dimensity 6400? 😁 Wacha masikhara mkuu
Hata mimi hapa wameniacha hoiFlagship kwa chip ya Dimensity 6400? 😁 Wacha masikhara mkuu
😁 We jamaa 😁Techno ina flagship? Wameimprove sana basi.
Bei yake?View attachment 3692811
Kampuni ya TECNO imezindua simu mpya ya TECNO SPARK 50S 5G nzuri kwa wanaohitaji betri kubwa, intaneti ya 5G na utendaji mzuri kwa matumizi ya kila siku.
TECNO SPARK 50S 5G imekuja na sifa zinazovutia! 🤯
View attachment 3692813View attachment 3692814
🔋 Betri ya 6,500mAh kwa matumizi ya muda mrefu
⚡ Chaji ya 45W kwa kuchaji kwa waya
📱 Skrini ya 120Hz kwa mwonekano laini
🚀 Dimensity 6400 yenye uwezo wa 5G
📸 Kamera ya 50MP kwa picha zako
🤖 Android 16 yenye HiOS 16
View attachment 3692817View attachment 3692819
🔥 Simu hii inalenga wale wanaotaka betri kubwa, kasi ya 5G na matumizi ya kila siku bila usumbufu mkubwa.
Unasemaje kuhusu simu hii tuachie maoni yako ?
Sogeza picha kuona zaidi 👋 .
Mkuu comment moja tu bannedMid range 6nm. Hapa bado
Acha dharau basi mkuu 🤣Nilijua G.Pixel huo muonekano wa kioo kumbe n wazee wa Ctrl C & Ctrl V
Techno ina flagship? Wameimprove sana basi.
Shida nyingine ni jina Tecno lina historia isiyofanana na simu za bei kubwa baadhi ya watu wanataka akitoa simu ya bei ghali aonekane ana simu ya bei ghali.Simu zao zinaanza anza kuingia kwenye soko la midrange, wakati yale matoleo ya midrange siku hizi wamekuwa flagship killers 😁 hawa bado wanakimbiza upepo sababu simu zao siku hizi bei imechangamka kama hizo nyingine
Hahaha, unataka ukitoa pesa yako isiwe ni specs tu na heshima iwepo sio?Hata walete nini binafsi hiyo simu sinunui. Labda wabadilishe jina
Kaka naomba shuleTecno hawajaanza sasa kuwa na flagship mkuu. Wapo vizuri sana
😁😁 umeamua kuchagua upande sasaTECNO Tanzania ndiye member pekee anayeweza kuongelea simu za Tecno na tukamuelewa.
😁😁😁 Aiseeh inabidi uwe legend tu mpaka Leo unatumia spark 3Duh wamefika Spark 50! Ni muda mwafaka sasa niibadili hii Spark 3 yangu.
🤣🤣😂😂Nina Iphone 15 pro max, so nataka tu simu ya backup, hiyo Pova 7 si itakuwa gharama kubwa kidogo? Nimeona hiyo Pova 2 ni around 300,000 tu na ina 8000MAH.
Google "categories of smartphone by price and performances by tier" itakuletea na utaelewa mkuu ili ujue simu unayomiliki ipo daraja gani mkuu.Kaka naomba shule
Flangshp ndio nini
Wabongo wengi wapo nyuma sana katika hizi devices na brands zake.😂Ni ile concept tu ya kizamani tuliyo nayo wengi kuwa Tecno means low quality ila nimewaangalia wana simu zenye specs nzuri sana tu.
Chukua kwa tecno hutajuta. Binafsi lazima niichukue, kwa mbilinge mbilinge zangu kazini itanisaidia sana.Nimeina tecno wameipa promo sana katika eneo la battery, wembamba wa simu na kioo cha Amoled, sasa nina wasiwasi kama ni kweli inaweza ikawa na sifa hizo nzuri.
Walianza kitambo kutengeneza flagships fuatilia YouTube uone walikuwa na phantom series na fold na flip.. wakaacha kutoa sijui liliwashinda miaka kama mitatu hivi imepita!Techno ina flagship? Wameimprove sana basi.