Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Bei yake?View attachment 3692811
Kampuni ya TECNO imezindua simu mpya ya TECNO SPARK 50S 5G nzuri kwa wanaohitaji betri kubwa, intaneti ya 5G na utendaji mzuri kwa matumizi ya kila siku.
TECNO SPARK 50S 5G imekuja na sifa zinazovutia! π€―
View attachment 3692813View attachment 3692814
π Betri ya 6,500mAh kwa matumizi ya muda mrefu
β‘ Chaji ya 45W kwa kuchaji kwa waya
π± Skrini ya 120Hz kwa mwonekano laini
π Dimensity 6400 yenye uwezo wa 5G
πΈ Kamera ya 50MP kwa picha zako
π€ Android 16 yenye HiOS 16
View attachment 3692817View attachment 3692819
π₯ Simu hii inalenga wale wanaotaka betri kubwa, kasi ya 5G na matumizi ya kila siku bila usumbufu mkubwa.
Unasemaje kuhusu simu hii tuachie maoni yako ?
Sogeza picha kuona zaidi π .
TECNO Tanzania ndiye member pekee anayeweza kuongelea simu za Tecno na tukamuelewa.View attachment 3692811
Kampuni ya TECNO imezindua simu mpya ya TECNO SPARK 50S 5G nzuri kwa wanaohitaji betri kubwa, intaneti ya 5G na utendaji mzuri kwa matumizi ya kila siku.
TECNO SPARK 50S 5G imekuja na sifa zinazovutia! π€―
View attachment 3692813View attachment 3692814
π Betri ya 6,500mAh kwa matumizi ya muda mrefu
β‘ Chaji ya 45W kwa kuchaji kwa waya
π± Skrini ya 120Hz kwa mwonekano laini
π Dimensity 6400 yenye uwezo wa 5G
πΈ Kamera ya 50MP kwa picha zako
π€ Android 16 yenye HiOS 16
View attachment 3692817View attachment 3692819
π₯ Simu hii inalenga wale wanaotaka betri kubwa, kasi ya 5G na matumizi ya kila siku bila usumbufu mkubwa.
Unasemaje kuhusu simu hii tuachie maoni yako ?
Sogeza picha kuona zaidi π .
Tecno hawajaanza sasa kuwa na flagship mkuu. Wapo vizuri sanaTechno ina flagship? Wameimprove sana basi.
Flagship kwa chip ya Dimensity 6400? π Wacha masikhara mkuuTechno ina flagship? Wameimprove sana basi.
Kama kipato kina kuruhusu chukua hii, nilishatumiaga tecno pove 7 utra ilikuwa na 6000mAh sikujuta mpaka nilipoamua kumuachia mdogo wangu. Kwakweli Tecno kwa matoleo ya pova wanajitahidi sana.Mkuu kuna hii tecno pova curve 2 ina betri ya 8000mAh, nataka kuchukua iwe simu ya backup maana kuna sehemu naenda kikazi na umeme unaweza ukawa changamoto huko. Hizo 8000mAh ni za kweli simu zinakaa na chaji muda mrefu au ni promo tu?
Duh wamefika Spark 50! Ni muda mwafaka sasa niibadili hii Spark 3 yangu.View attachment 3692811
Kampuni ya TECNO imezindua simu mpya ya TECNO SPARK 50S 5G nzuri kwa wanaohitaji betri kubwa, intaneti ya 5G na utendaji mzuri kwa matumizi ya kila siku.
TECNO SPARK 50S 5G imekuja na sifa zinazovutia! π€―
View attachment 3692813View attachment 3692814
π Betri ya 6,500mAh kwa matumizi ya muda mrefu
β‘ Chaji ya 45W kwa kuchaji kwa waya
π± Skrini ya 120Hz kwa mwonekano laini
π Dimensity 6400 yenye uwezo wa 5G
πΈ Kamera ya 50MP kwa picha zako
π€ Android 16 yenye HiOS 16
View attachment 3692817View attachment 3692819
π₯ Simu hii inalenga wale wanaotaka betri kubwa, kasi ya 5G na matumizi ya kila siku bila usumbufu mkubwa.
Unasemaje kuhusu simu hii tuachie maoni yako ?
Sogeza picha kuona zaidi π .
Nina Iphone 15 pro max, so nataka tu simu ya backup, hiyo Pova 7 si itakuwa gharama kubwa kidogo? Nimeona hiyo Pova 2 ni around 300,000 tu na ina 8000MAH.Kama kipato kina kuruhusu chukua hii, nilishatumiaga tecno pove 7 utra ilikuwa na 6000mAh sikujuta mpaka nilipoamua kumuachia mdogo wangu. Kwakweli Tecno kwa matoleo ya pova wanajitahidi sana.
Ila spark 3 kalikuwaga kazuri πΉDuh wamefika Spark 50! Ni muda mwafaka sasa niibadili hii Spark 3 yangu.
Mid range 6nm. Hapa badoDimensity 6400 yenye uwezo wa 5G
Hii pova 2 curve ndio sahihi ya kuibeba coz iko very affordable. Mi nampango wa kuichukua mapema tu.Nina Iphone 15 pro max, so nataka tu simu ya backup, hiyo Pova 7 si itakuwa gharama kubwa kidogo? Nimeona hiyo Pova 2 ni around 300,000 tu na ina 8000MAH.
Nimeina tecno wameipa promo sana katika eneo la battery, wembamba wa simu na kioo cha Amoled, sasa nina wasiwasi kama ni kweli inaweza ikawa na sifa hizo nzuri.Hii pova 2 curve ndio sahihi ya kuibeba coz iko very affordable. Mi nampango wa kuichukua mapema tu.
Ni ile concept tu ya kizamani tuliyo nayo wengi kuwa Tecno means low quality ila nimewaangalia wana simu zenye specs nzuri sana tu.Tecno hawajaanza sasa kuwa na flagship mkuu. Wapo vizuri sana
Hahaha, ila nimeangalia online naona wana simu zenye specs nzuri tu.Flagship kwa chip ya Dimensity 6400? π Wacha masikhara mkuu
Simu zao zinaanza anza kuingia kwenye soko la midrange, wakati yale matoleo ya midrange siku hizi wamekuwa flagship killers π hawa bado wanakimbiza upepo sababu simu zao siku hizi bei imechangamka kama hizo nyingineHahaha, ila nimeangalia online naona wana simu zenye specs nzuri tu.