Tecno imeleta simu mpya yenye nguvu ya ajabu, Tecno SPARK 50S 5G

Bei yake?
 
Simu zao zinaanza anza kuingia kwenye soko la midrange, wakati yale matoleo ya midrange siku hizi wamekuwa flagship killers 😁 hawa bado wanakimbiza upepo sababu simu zao siku hizi bei imechangamka kama hizo nyingine
Shida nyingine ni jina Tecno lina historia isiyofanana na simu za bei kubwa baadhi ya watu wanataka akitoa simu ya bei ghali aonekane ana simu ya bei ghali.
 
Nimeina tecno wameipa promo sana katika eneo la battery, wembamba wa simu na kioo cha Amoled, sasa nina wasiwasi kama ni kweli inaweza ikawa na sifa hizo nzuri.
Chukua kwa tecno hutajuta. Binafsi lazima niichukue, kwa mbilinge mbilinge zangu kazini itanisaidia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…