Sawasawa afande, hata mimi inabidi nichukue hiyo sababu kuna muda naenda kwenye matenda yangu narudi jioni, nikiwa na simu mbili nakuwa sina stress ya kutopatikana. Hiyo 8000mAh sio mchezo mkuu, kwa kupiga simu, kupokea na kuingia Jamiiforums itakuwa inatunza sana moto.Chukua kwa tecno hutajuta. Binafsi lazima niichukue, kwa mbilinge mbilinge zangu kazini itanisaidia sana.
Vipi mkuu?🤣🤣😂😂
Huyu anazingua Flagship kwa Tecno ni Phantom series yenye Qualcomm Snapdragon 8 Gen 3Flagship kwa chip ya Dimensity 6400? 😁 Wacha masikhara mkuu
Hata mimi mkuu.Wabongo wengi wapo nyuma sana katika hizi devices na brands zake.😂
TrueWalianza kitambo kutengeneza flagships fuatilia YouTube uone walikuwa na phantom series na fold na flip.. wakaacha kutoa sijui liliwashinda miaka kama mitatu hivi imepita!
Hii kweli flagship, tangu naifahamu Tecno hili ndio toleo lao high end, nishawahi tumia Phantom 5 mwaka 2015, nahisi ndio Tecno pekee iliyowahi kusuuza mtimaHuyu anazingua Flagship kwa Tecno ni Phantom series yenye Qualcomm Snapdragon 8 Gen 3View attachment 3692949
Tecno Pouvoir sikujua kama zina mwendelezo nilidhani series iko discontinued. Kuna jamaa alikuwa nayo tukiwa A level haikuwa inaisha chaji kuliko simu za watu wote watukutu tuliokuwa na simu shule.Mkuu kuna hii tecno pova curve 2 ina betri ya 8000mAh, nataka kuchukua iwe simu ya backup maana kuna sehemu naenda kikazi na umeme unaweza ukawa changamoto huko. Hizo 8000mAh ni za kweli simu zinakaa na chaji muda mrefu au ni promo tu?
Simu zote zimechangamka bei hasa suala la chips ndio linabadili bei. Manufacturers wamekuja juu, ndio maana mfano iPhone yenye 1TB na yenye 2TB bei zao ni mbingu na ardhi.Simu zao zinaanza anza kuingia kwenye soko la midrange, wakati yale matoleo ya midrange siku hizi wamekuwa flagship killers 😁 hawa bado wanakimbiza upepo sababu simu zao siku hizi bei imechangamka kama hizo nyingine
Phantom ndio ilikuwa flagship. I think units sold zilikuwa chache. Tecno customer base yao ni affordable smartphones zenye basics na reliable, parts zinazopatikana kiurahisi for service. Sasa flagships haina sifa zote hizo.Walianza kitambo kutengeneza flagships fuatilia YouTube uone walikuwa na phantom series na fold na flip.. wakaacha kutoa sijui liliwashinda miaka kama mitatu hivi imepita!
Ha ha ha ha techo waliwahi kuwa na Tecno L5 ebhaana ilikuwa inakaa na chaji balaa. Hii ni pova curve 2, sidhani kama pova ndio pauvoir. Ila 8000mah na simu ni slim ndo nashangaa hapo mkuu.Tecno Pouvoir sikujua kama zina mwendelezo nilidhani series iko discontinued. Kuna jamaa alikuwa nayo tukiwa A level haikuwa inaisha chaji kuliko simu za watu wote watukutu tuliokuwa na simu shule.
Soko la flagships kwa kampuni ndogo ni gumu sana mwaka huu nothing phone wameona bora watoe midrange tu!Phantom ndio ilikuwa flagship. I think units sold zilikuwa chache. Tecno customer base yao ni affordable smartphones zenye basics na reliable, parts zinazopatikana kiurahisi for service. Sasa flagships haina sifa zote hizo.
Na bado Phantom zilikuwa na bei kubwa ambapo anayemudu kununua basi anaweza nunua midrange ya kampuni nyingine yenye software support nzuri na OS nzuri zaidi.
Hio processor ina Nguvu Sawa na Samsung za laki 2, hakuna flagship hapo.Techno ina flagship? Wameimprove sana basi.
Hahaha we jamaa uko nyuma saana. Yaani mpaka sasa unatumia spark 3?🤣Duh wamefika Spark 50! Ni muda mwafaka sasa niibadili hii Spark 3 yangu.
Nothing phone ndio kampuni gani mkuu?Soko la flagships kwa kampuni ndogo ni gumu sana mwaka huu nothing phone wameona bora watoe midrange tu!
DuuhNothing phone ndio kampuni gani mkuu?