Tecno imeleta simu mpya yenye nguvu ya ajabu, Tecno SPARK 50S 5G

Tecno wakikwambia 8000maH ujue charge ni week nzima😂
Mkuu kuna hii tecno pova curve 2 ina betri ya 8000mAh, nataka kuchukua iwe simu ya backup maana kuna sehemu naenda kikazi na umeme unaweza ukawa changamoto huko. Hizo 8000mAh ni za kweli simu zinakaa na chaji muda mrefu au ni promo tu?
 
Ni ile concept tu ya kizamani tuliyo nayo wengi kuwa Tecno means low quality ila nimewaangalia wana simu zenye specs nzuri sana tu.
Kwa mfano simu gani?
Natumia Galaxy s23 nataka nirudi TECNO. Mara ya mwisho kutumia TECNO ilikuwa boom J8
 
Reactions: Tsh
Kwa mfano simu gani?
Natumia Galaxy s23 nataka nirudi TECNO. Mara ya mwisho kutumia TECNO ilikuwa boom J8
Sijazitumia na kusema kweli kwenye simu mimi ni wale basic sio phone monga, ila kujibu swali lako kuna Tecno Canon 30 premier 5g naona ina specs.
 
Tecno ni tecno tu simu inatoka china ila hata wachina wenyewe hawaijui afu unataka isifia sawa ni mawazo yako ila ukwel utabakia
 
Tecno ni tecno tu simu inatoka china ila hata wachina wenyewe hawaijui afu unataka isifia sawa ni mawazo yako ila ukwel utabakia
Kuna brands ngapi za simu zina tengenezwa China na wachina hawazitumii mkuu ila nje ya China zinafanya vizuri tu? Usikariri maisha..

WaChina wanatumia sana Huawei, iPhone na Vivo ndo zina ongoza, ila wana simu kali sana zinatengenezwa kwao huko huko tena na kampuni za ndani na zina specs nzuri tu ila hawazitumii, ila nje huku ukiipata na ukiishika ukachunguza specs zake unaona kweli umepata simu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…