Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Inawezekana mwezi huu kabla hujafikia tamati basi Tecno wanaweza kukuletea simu mpya yenye uwezo wa kujikunja mara Tatu yani Tripple - Fold smartphone.
Simu hii itakua ni toleo la muendelezo wa "Phantom Ultimate G", ambapo picha baadhi zimevuja zikionyesha Namna toleo ilo jipya litakavyokuwa ambapo inaonyesha itakua nyembamba, nyepesi inayojikunja mara Tatu.
Pia Samsung wana mpango wa kutoa simu yenye uwezo wa kujikunja mara tatu kama karatasi je unafikiri TECNO na SAMSUNG nani atashinda kwenye mbio hii tuachie maoni yako?.