Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Bado haijatoka boss ila soon inatokaImetolewa lini mbona kama ya muda kidogo hii
Huawei wanayo triple foldView attachment 3398314
Inawezekana mwezi huu kabla hujafikia tamati basi Tecno wanaweza kukuletea simu mpya yenye uwezo wa kujikunja mara Tatu yani Tripple - Fold smartphone.
View attachment 3398315
Simu hii itakua ni toleo la muendelezo wa "Phantom Ultimate G", ambapo picha baadhi zimevuja zikionyesha Namna toleo ilo jipya litakavyokuwa ambapo inaonyesha itakua nyembamba, nyepesi inayojikunja mara Tatu.
View attachment 3398316View attachment 3398323
Pia Samsung wana mpango wa kutoa simu yenye uwezo wa kujikunja mara tatu kama karatasi je unafikiri TECNO na SAMSUNG nani atashinda kwenye mbio hii tuachie maoni yako?.
Ni wakati wa Tecno Sasa kuleta ushindani kwenye simu za foldable na Samsung โMkuu umeionea tecno.. tecno acha apambane ligi zake na kina infinix..
Yeah Huawei ndo watu wa kwanza kuzindua ๐ ila Hapa tunazungumzia Tecno ๐๐๐ na SamsungHuawei wanayo triple fold
Wapumbavu wanauza karibia milioni kumi simu ya mwaka jana๐๐Yeah Huawei ndo watu wa kwanza kuzindua ๐ ila Hapa tunazungumzia Tecno ๐๐๐ na Samsung
Tecno na Infinix ni same thingMkuu umeionea tecno.. tecno acha apambane ligi zake na kina infinix..
Tecno wanachoweza ni kuweka muundo kama ule wa camera za Iphone, mengine yapo nje ya uwezo waoView attachment 3398314