igwee frm anambra
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 957
- 1,496
Kwa nini wasitupunguzie bei na huwawei? ...maana zinatoka hukohuko China lakini zina balaa sio la dunia hii.!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umasikini unaozungumziwa hapo sio tu wa kipesa pekeeSijajua kwanini watu wanaoonekana kutumia kampuni hii wanatafsirika kua ni maskini?
Ila tuwe seriuos itel kwa smartphone ni zaidi ya ushuzi
Ugali ndio chakula pendwa tanzania bara hilo halina UBISHI cha pili wali tatu chipsSidhani kama ni sahihi sana kusema Africa “wanapenda” zaidi Tecno kuliko simu zingine
Ukweli ni kwamba waafrica tuna afford kununua Tecno
Sio kweli kwamba ugali ndio chakula pendwa Tz
Bali ndio chakula watu wengi wanakimudu
Ugali ni chakula pendwa kwa kuwa haukinaishi.Sidhani kama ni sahihi sana kusema Africa “wanapenda” zaidi Tecno kuliko simu zingine
Ukweli ni kwamba waafrica tuna afford kununua Tecno
Sio kweli kwamba ugali ndio chakula pendwa Tz
Bali ndio chakula watu wengi wanakimudu
Laki 6, wapo wanaojisifia humu[emoji38][emoji38]hata mwanaume na akili timamu,ukiishaonekana unatumia hiyo brand watu wanapoteza umakini na wewe.
mtu unatoa laki 350 unachukua tecno[emoji16]kweli!!!!
Tecno , kifaa cha mawasiliano kwa hohehaheAfrika
Hapa ulipo comment kama hivi ulivyo comment hii comment..Wenye iphone tuna comment wapi??
Wanasema hawaamini wanachokiona, wanaona wamei hujumu Samsung wazi wazi..Kwani Tecno wenyewe wanasemaje:
😂 😂 😂Watu wa humu wengi wanamaisha ya kuigiza kwa kuandika andika tu,wanajifanya matawi alafu unamkuta kwenye uzi unaohusu ugumu wa maisha mtu wa matawi anacomment"nimewekewa kufuli na maza house kwasababu ananidai kodi ya miezi minne sijui ntalala wapi"
Sawa mkuuUzuri wameweka wazi kuwa moja ya sababu ni Corona.
Umetoka kupigika kiuchumi baada ya lockdown, Bila shaka utatafuta cha bei nafuu.
Wapinzani wengi(Samsung, iphone, Nokia, Google n.k) walikua ndio kwanza experience lockdown hivyo nguvu kazi ilipungua viwandani na pia hakukua na Shipping au ilikua ndogo sana huku Tecno akirahisisha zaidi kwa kua na kiwanda africa.
Utofauti ni upi mkuu kama mmiliki wa tecno na itel ni yule yuleSijajua kwanini watu wanaoonekana kutumia kampuni hii wanatafsirika kua ni maskini?
Ila tuwe seriuos itel kwa smartphone ni zaidi ya ushuzi
kwanini usinunue tecno wakati bei zinafanana?Binafsi nitanunua Samsung mkuu
Kwakua Zantel na tigo zilikua zinamilikiwa na mtu mmoja hivyo zantel ilikua inafanana na tigo kiubora wa mtandao?Utofauti ni upi mkuu kama mmiliki wa tecno na itel ni yule yule