Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Tigo alimnunua zantel na kila kitu chake ina maana ni kampuni mbili working independently under the same umbrella.Kwakua Zantel na tigo zilikua zinamilikiwa na mtu mmoja hivyo zantel ilikua inafanana na tigo kiubora wa mtandao?
Japokuwa brand yao ya tecno ndiyo kwao high end, lakini haijatofautina sana na itel. Ndiyo maana hata wao wanalenga soko la africa na India. Actually, wamefanikiwa sana sokoni. Ni mojawapo ya kampuni ambazo zilifanya utafiti africa na kujua watu wanataka nini. Masuala ya line zaidi ya moja, sijui sim kukaa na chaj sana.
Lakini kiubora ni brand ambazo hazijazidiana.