TECNO kutwaa tuzo ya simu pendwa baada ya kuishinda Samsung

iphone 6s used ya mwaka 2014 ni bora mara 15 kuliko tecno la mwaka huu.

hata hivyo.iphone hiyo mtu kauziwa bei kubwa kuliko tecno jipya.
 
Kashika soko Sababu watu wengi ni wajinga hawana uelewa wa simu, wa naangalia tu ukubwa wa kioo.

Mfano naweza kuchallenge ni tecno ipi inakupa value for money compare na brand nyengine?
 
Hakuna Tecno kali
Raha ya brandy kubwa unapewa updates hata miaka 2 ukitofautisha na tecno...nimenunua samsung android 10 kwa sasa nimepata android 11 nainjoy tu nasubiri ikitoka android 12 na mimi nimo, raha izi uwezi pata kama unatumia tecno au infinixy au uomngo jaman?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Ngoja wale wanaosema tecno ni simu za masikini waje.
Wakati huohuo nao wanatumia tecno.

Sababu huwezi kujua ubaya au uzuri wa tecno kama hutumii tecno.
Naomba nikwambie tu .
Tecno ni upuuzi kama upuuzi mwingine tu.

Nimetumia simu za tecno zaidi ya 5
Nimetumia:
T30 (button)
T35 (button)
P3
P5
P9
S5
W3
Wx3 LTE
N8
S2
H6
Hizo zote nimetumia kwa kumiliki zaidi ya miezi 3 .

Hivyo tunaposema tecno na upumbavu flani uliochangamka mtuelewe tu
 
Zilikuwa na shida gani?

Na ulizitumia hizo simu kwenye nini?
 
In summary:

Infinix - Upuuzi uliochangamka tu
Tecno - Upuuzi wa kawaida
Itel - Upuuzi uliopooza

[emoji124][emoji124]
Kuna mwingine toka haanze kutumia smartphone ni tecno kwenda mbele huyu awezi kukuelewa ukimwambia low quality coz hata mm nilikua na jamaa yang alikua mpenz sana wa huawei mm tecno kila akinishawashi ninunue huawei mm naona kama kavurugika vile, nilikuja kuelewa baadae kweli......yote na yote wabongo bado hatujachangamka...kuna jamaa aliagiziwa simu kampuni ya vivo kutoka india ilikua nzuri mno mimi kipindi icho natumia tecno nikamwambia simu gani hiyo kauza kanunua tecno c9 ndo nakumbuka ivyoo
 
hii roho ya kishamba inamuandama huyo jamaa.

uliishawahi kutana na mtu anakwambia yeye samsung,iphone,ama huawei hazipendi sababu tu anapata akitakacho kwenye tecno!!!!!
unamwacha maana hata maelezo mengi kiasi gani hawezi kukuelewa.
 
Yeah uko sahihi in your opinions na perspectives.
 
Uwingi wake unatokana na bei kuwa cheee, na waafrika wengi ni maskin.. hili siyo jambo la kujivunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…