Ugomvi wangu mkubwa na Tecno ni display pamoja na processor. Wanaweza weka simu ina design nzuri ila nenda kwenye screen resolution inazidiwa na smart TV, ukienda kwa processor unakutana na Mediatek Helio G ngapi uko yenye 8nm mwaka 2026.Tecno ni tecno tu kuna mwamba anamiliki tecno phantom sijui ngapi bei imesimama ila ukishika kuanzia display yake n.k unabaki unashangaa tu simu hovyo sana hizo
Anadharaulika mtumiaji wa Tecno au inadharaulika Tecno yenyewe?Hawa jamaa sijui uwa wanafikiria nini katika muundo wa simu zao .View attachment 3527450View attachment 3527451
Simu ina camera moja nyuma ila designer anaweka marings matatu ili waonekane kama iPhone macho matatu, na wateja wasiojua wananunua wakidhani ina camera tatu kweli.
Kumbuka hizi simu zinauzwa huku afrika tu kwahiyo zinatakiwa ziwe bei chee. Sasa ili ziwe bei chee kuna mambo lazima yapunguzwe.Ugomvi wangu mkubwa na Tecno ni display pamoja na processor. Wanaweza weka simu ina design nzuri ila nenda kwenye screen resolution inazidiwa na smart TV, ukienda kwa processor unakutana na Mediatek Helio G ngapi uko yenye 8nm mwaka 2026.
Tecno haziuzwi Africa tu ni worldwideKumbuka hizi simu zinauzwa huku afrika tu kwahiyo zinatakiwa ziwe bei chee. Sasa ili ziwe bei chee kuna mambo lazima yapunguzwe.
Anayetumia 😀😀Anadharaulika mtumiaji wa Tecno au inadharaulika Tecno yenyewe?
Ni kama Infinix kila miezi sita wanatoa simu zina maumbo tofauti ila specs ni zilezile na bei ni ileile. Mwaka jana January kuna Infinix ya umbo X ilikuwa inauzwa 290,000 na muda huu hiyo ya X inauzwa 265,000 ila kuna umbo Y inauzwa 290,000.Kumbuka hizi simu zinauzwa huku afrika tu kwahiyo zinatakiwa ziwe bei chee. Sasa ili ziwe bei chee kuna mambo lazima yapunguzwe.
Da uko sahihi kabisa. Yaani wanakugeuza mshamba, (mlugaluga - wanaita vijana wa mjini), huku ukiona live.Hawa jamaa sijui uwa wanafikiria nini katika muundo wa simu zao .View attachment 3527450View attachment 3527451
Simu ina camera moja nyuma ila designer anaweka marings matatu ili waonekane kama iPhone macho matatu, na wateja wasiojua wananunua wakidhani ina camera tatu kweli.
HahahaDa uko sahihi kabisa. Yaani wanakugeuza mshamba, (mlugaluga - wanaita vijana wa mjini), huku ukiona live.
Simu ni Samsung tu tena zile S reries na note!, ila A series ni Tecno iliyochangamka.
Ona ulivyo kilaza, hujui kama note series ,hazipo tena.Simu ni Samsung tu tena zile S reries na note!, ila A series ni Tecno iliyochangamka.
kenge mmoja we!, kuwa na adabu.Ona ulivyo kilaza, hujui kama note series ,hazipo tena.
Ni kweli laiti wasingekuwa hawa jamaa sisi masikini smart tungekuwa tunaisikia tu😂😂Bei inaendana na bidhaa mkuu.
Sasa bora Tecno kuna hawa jamaa wanaitwa Z nini sijui simu zao zinatolewa sana na hawa jamaa wa kukopesha 😁 zile simu asee hapana bora niakae bila simu..Ni kweli laiti wasingekuwa hawa jamaa sisi masikini smart tungekuwa tunaisikia tu😂😂