TECNO Spark 40 ni mfano wa simu zinazofanya watumiaji wa TECNO wadharaulike!

TECNO Spark 40 ni mfano wa simu zinazofanya watumiaji wa TECNO wadharaulike!

Hawa jamaa sijui uwa wanafikiria nini katika muundo wa simu zao .View attachment 3527450View attachment 3527451
Simu ina camera moja nyuma ila designer anaweka marings matatu ili waonekane kama iPhone macho matatu, na wateja wasiojua wananunua wakidhani ina camera tatu kweli.
Ikitumika kwa mwaka mmoja tu, wakati ipo kwenye chaji, inakuwa inasoma "charging, three weeks to full charge"
 
Poleeni sana
IMG_1011.jpeg
 
Sasa bora Tecno kuna hawa jamaa wanaitwa Z nini sijui simu zao zinatolewa sana na hawa jamaa wa kukopesha 😁 zile simu asee hapana bora niakae bila simu..
😂😂😂 Pale hakuna simu mkuu
Na walivyo wajanja walitengeneza simu yenye kioo kikubwa ili kukamata watu..🤏🤓
 
Sasa bora Tecno kuna hawa jamaa wanaitwa Z nini sijui simu zao zinatolewa sana na hawa jamaa wa kukopesha 😁 zile simu asee hapana bora niakae bila simu..
😂😂😂 Pale hakuna simu mkuu
Na walivyo wajanja walitengeneza simu yenye kioo kikubwa ili kukamata watu..
🤓🤏
 
😂😂😂 Pale hakuna simu mkuu
Na walivyo wajanja walitengeneza simu yenye kioo kikubwa ili kukamata watu..🤏🤓
🤣🤣🤣🤣asee kweli nikiangaliaga mtu anatumia naskia huruma sana.
 
Ni kama Infinix kila miezi sita wanatoa simu zina maumbo tofauti ila specs ni zilezile na bei ni ileile. Mwaka jana January kuna Infinix ya umbo X ilikuwa inauzwa 290,000 na muda huu hiyo ya X inauzwa 265,000 ila kuna umbo Y inauzwa 290,000.
Halaf network zote ni 4G[emoji38]
 
Sasa bora Tecno kuna hawa jamaa wanaitwa Z nini sijui simu zao zinatolewa sana na hawa jamaa wa kukopesha 😁 zile simu asee hapana bora niakae bila simu..
Unazungumzia #ZAHORO MATELEFONEE
 
Maskini wenzangu msio na mambo mengi kwenye simu nunueni INFINIX HOT 10 PLAY mtafaidi sana.
 
Sasa bora Tecno kuna hawa jamaa wanaitwa Z nini sijui simu zao zinatolewa sana na hawa jamaa wa kukopesha 😁 zile simu asee hapana bora niakae bila simu..
KUNA SIMU NA CHIMU...HIZO NI CHIMU...UKISIKIA MTOTO👶👶 ANASEMA MAMA NINUNULIE CHIMU NDIYO HIZO SASA.
 
Back
Top Bottom