TECNO Spark 40 ni mfano wa simu zinazofanya watumiaji wa TECNO wadharaulike!

Tecno ni tecno tu kuna mwamba anamiliki tecno phantom sijui ngapi bei imesimama ila ukishika kuanzia display yake n.k unabaki unashangaa tu simu hovyo sana hizo
Ugomvi wangu mkubwa na Tecno ni display pamoja na processor. Wanaweza weka simu ina design nzuri ila nenda kwenye screen resolution inazidiwa na smart TV, ukienda kwa processor unakutana na Mediatek Helio G ngapi uko yenye 8nm mwaka 2026.
 
Kumbuka hizi simu zinauzwa huku afrika tu kwahiyo zinatakiwa ziwe bei chee. Sasa ili ziwe bei chee kuna mambo lazima yapunguzwe.
 
Kumbuka hizi simu zinauzwa huku afrika tu kwahiyo zinatakiwa ziwe bei chee. Sasa ili ziwe bei chee kuna mambo lazima yapunguzwe.
Ni kama Infinix kila miezi sita wanatoa simu zina maumbo tofauti ila specs ni zilezile na bei ni ileile. Mwaka jana January kuna Infinix ya umbo X ilikuwa inauzwa 290,000 na muda huu hiyo ya X inauzwa 265,000 ila kuna umbo Y inauzwa 290,000.
 
Da uko sahihi kabisa. Yaani wanakugeuza mshamba, (mlugaluga - wanaita vijana wa mjini), huku ukiona live.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…