King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mwanaharaki huruNi nani huyo Teddy Kalonga? Model,musician or?
YeahShe is a hell of a woman!![emoji123][emoji123][emoji123][emoji123] I used to like her when she used to be tv presenter.. Hope she is doing well out there!
Bado mzuri sema tu labda karidhika na maisha hivyo kujiremba si sana kama ilivyokuwa miaka ya nyuma pia hii Covid na kukaa ndani kula kula kaongeza kama 30 pounds if not more. Kama akiendelea hivyo basi uzuri wote utamezwa na more pounds.
Clueless14
Sijui yuko wapi TK
E bwana utopolo anaoweka kichwani unamfanya awe ovyo zaidi. Kuridhika na maisha haihusiani na yeye kuvaa visivyompendeza tena hata kidogo. First alieka meno yake akawa anaonekana ana kama ana meno 60 mdomoni, kabadilisha akarudi kuwa msupu, sasa doooh! Blonde or colored hair sio za kila mtu. To me, she looks absolutely ugly kwa anavyojiweka currently. Na kupretend kusahau kiswahili ..dah! Sipendi watu waigizaji wa namna hii aisee! Anyway…. Maisha yake.
Yuko seattle Washington anapambana na hali yake
Kaolewa ana watoto wawili.
Mange akatupia picha ya mdada chooni,nakapenda sanaNakumbuka beef lake na Mange Kimambo long time 2008 ,Teddy Kalonga na Abba Channel 5 mwaka 2002.
Yes back 2 back Lil TKNakumbuka beef lake na Mange Kimambo long time 2008 ,Teddy Kalonga na Abba Channel 5 mwaka 2002.
Unamfahamu sana.....ni jirani yako uko Seattle WashingtonWatoto watatu,
Hilo wigi mwenyewe kaona katokeleza but mmmh… kila kitu ovyo kuanzia make upView attachment 1983714
Normally mwanamke hua ana kipindi kifupi sana cha ku shine. Kama alianza ku shine miaka ya 2000 kwa sasa lazima umri utakua umesha catch up.Ni kweli muonekano wake wa hivi karibuni hauvutii nadhani kunenepa kumechangia sana.
Normally mwanamke hua ana kipindi kifupi sana cha ku shine. Kama alianza ku shine miaka ya 2000 kwa sasa lazima umri utakua umesha catch up.
Dah hongera zake alikuwa mrembooKaolewa ana watoto wawili.
Mange akatupia picha ya mdada chooni,nakapenda sana
Yes back 2 back Lil TK
Picha Imenipa matumaini sio peke yangu Nazeeka eti....cha muhimu ni kuwa happyWatoto watatu,
Hilo wigi mwenyewe kaona katokeleza but mmmh… kila kitu ovyo kuanzia make upView attachment 1983714
amekuwa kibibi....juve.Watoto watatu,
Hilo wigi mwenyewe kaona katokeleza but mmmh… kila kitu ovyo kuanzia make upView attachment 1983714