Teddy Kalonga huwa namfananisha na Halle Berry

Bado mzuri sema tu labda karidhika na maisha hivyo kujiremba si sana kama ilivyokuwa miaka ya nyuma pia hii Covid na kukaa ndani kula kula kaongeza kama 30 pounds if not more. Kama akiendelea hivyo basi uzuri wote utamezwa na more pounds.
Clueless14

E bwana utopolo anaoweka kichwani unamfanya awe ovyo zaidi. Kuridhika na maisha haihusiani na yeye kuvaa visivyompendeza tena hata kidogo. First alieka meno yake akawa anaonekana ana kama ana meno 60 mdomoni, kabadilisha akarudi kuwa msupu, sasa doooh! Blonde or colored hair sio za kila mtu. To me, she looks absolutely ugly kwa anavyojiweka currently. Na kupretend kusahau kiswahili ..dah! Sipendi watu waigizaji wa namna hii aisee! Anyway…. Maisha yake.
 
Ni kweli muonekano wake wa hivi karibuni hauvutii nadhani kunenepa kumechangia sana.

Kaolewa ana watoto wawili.

Watoto watatu,

Hilo wigi mwenyewe kaona katokeleza but mmmh… kila kitu ovyo kuanzia make up
IMG_9115.jpg
 
Ni kweli muonekano wake wa hivi karibuni hauvutii nadhani kunenepa kumechangia sana.
Normally mwanamke hua ana kipindi kifupi sana cha ku shine. Kama alianza ku shine miaka ya 2000 kwa sasa lazima umri utakua umesha catch up.
 
Wako wana miaka 60 na ushee bado wanaita tu na muonekano wao utadhani wako 30+.

Normally mwanamke hua ana kipindi kifupi sana cha ku shine. Kama alianza ku shine miaka ya 2000 kwa sasa lazima umri utakua umesha catch up.
 
haka kadada huko kaliko nahisi katakuwa kameshazeeka. nakafahamu toka kitambo sana...elf mbili kweusi huko.
 
Back
Top Bottom