Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Alikuwa Na bar jirani Na shule ya msingi Mwenge?Wapenzi wa Sanaa kama mnamjua mtu social Kaka yetu Teddy Mwanambilimbi kaka yake Deo Mwanambilimbi ametutoka na hatunaye tena.
Bwana ametoa Bwana ametwa, Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un !
Kaka yetu...Rafiki yetu...Mshauri wetu.Hatuna mengi ya kusema bali kukuombea nafsi yako huko ilipo nasi sote duniani ni mapito.Upumzike kwa amani
Pole nyingi kwa wanafamilia wa Mzee Mwanambilimbi.wadogo zako na wanao pia shemeji yetu
Muda wote najua ni Dada kumbe ni kaka, dah R.I.P lakini, jamaa wa jahazi ndo walinizindua
R.I.P
Ni kweli mkuu, dawa nyingi za HIV ziko kwenye hiyo phase.Wangejua kuwa katika product research and development , kutoa product ikawa marketable inaweza kuchukua even 20 or more yrs! Kwenye pharmaceutical product development it can take even 50 yrs, kwamba hii sasa dawa itumike kwa binadamu!
Du! Siasa hizi! Niliwahi kusikia (kwenye hotuba ya Mwl. nafikiri) kuwa jamaa mmoja (Ford?) aliwaambia mafundi/wahandisi watengeneze gari. Ripoti ya kwanza wakamwambia kuwa gari wametengeneza lakini linarudi nyuma badala ya kwenda mbele! Jamaa akasema 'sasa nataka mkalifanye liende mbele' jamaa jitahidi mpaka walikanikiwa. Kweli hao tunaowaita wenzetu hawana siasa kwa mambo ya msingi.Kwa kweli tukiacha siasa Nyumbu itakuwa mbali.Lakini bado hatujachelewa.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Tulijaribu kuunda nikiwa Engineer Nyumbu....siasa ikaingilia....
Another worse scenerio hata watanzania wenyewe tunadharauliana sana na kuto thamini wasomi wetu kwamba hawawezi kufanya lolote la maana. Then wanaishia kukata tamaa. Again Wanasiasa wengi wanapenda matokeo katika kipindi kifupi cha uongozi tena within five yrs!!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Research ya Gari. Pia umaskini wetu kama Nchi unachangia sana kwa serikali kuinject Fund kwa kitu ambacho kitaleta matokeo after 30yrs down the lane. Myopic....Du! Siasa hizi! Niliwahi kusikia (kwenye hotuba ya Mwl. nafikiri) kuwa jamaa mmoja (Ford?) aliwaambia mafundi/wahandisi watengeneze gari. Ripoti ya kwanza wakamwambia kuwa gari wametengeneza lakini linarudi nyuma badala ya kwenda mbele! Jamaa akasema 'sasa nataka mkalifanye liende mbele' jamaa jitahidi mpaka walikanikiwa. Kweli hao tunaowaita wenzetu hawana siasa kwa mambo ya msingi.Kwa kweli tukiacha siasa Nyumbu itakuwa mbali.Lakini bado hatujachelewa.
Hapo ndipo serekali inapokosea haiweki fund kwenye long term research project hiyo kazi imeachwa kwa wageniAnother worse scenerio hata watanzania wenyewe tunadharauliana sana na kuto thamini wasomi wetu kwamba hawawezi kufanya lolote la maana. Then wanaishia kukata tamaa. Again Wanasiasa wengi wanapenda matokeo katika kipindi kifupi cha uongozi tena within five yrs!!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Research ya Gari. Pia umaskini wetu kama Nchi unachangia sana kwa serikali kuinject Fund kwa kitu ambacho kitaleta matokeo after 30yrs down the lane. Myopic....
......Hawana uchungu na future ya Nchi yetu kivileeeeeHapo ndipo serekali inapokosea haiweki fund kwenye long term research project hiyo kazi imeachwa kwa wageni
BOT NI MDOGO WAKE MWINGINE IFUNDA PRO PIA
Ila Teddy si jina la kike???? Kifupi cha Theresia??
kemondo band imepoteza apumzike kwa amaniWapenzi wa Sanaa kama mnamjua mtu social Kaka yetu Teddy Mwanambilimbi kaka yake Deo Mwanambilimbi ametutoka na hatunaye tena.
Bwana ametoa Bwana ametwa, Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un !